Mwanahabari Henry Mdimu asema IMETOSHA! avaa njuga kupambana na mauaji ya Albino
Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam. Kampeni hiyo inajulikana kwa jina la Imetosha.
Mchoraji maarufu na mmoja wa wanakamati wa kampeni za imetosha Masoud Kipanya (kulia) akizungumza na DW.
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kushoto) akihojiwa na DW mara baada ya mkutano wao. TBN imeunga mkono kampeni hizo zinazoongozwa na balozi wa kujitolea wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HVuLP8ihO80/VPyu_ZvT1jI/AAAAAAAHIug/09OgQGJPsI0/s72-c/unnamed.jpg)
KUTOKA MEZA YA BALOZI WA HARAKATI ZA IMETOSHA HENRY MDIMU
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-HVuLP8ihO80/VPyu_ZvT1jI/AAAAAAAHIug/09OgQGJPsI0/s72-c/unnamed.jpg)
BALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA TAIFA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qnj9WuR_GCY/VPhewKYDRmI/AAAAAAAHH2Q/lj0rpbxb8CQ/s72-c/DSC_0273.jpg)
Mdau Henry Mdimu aanza harakati za kutoa somo kwa wauaji wa albino
Balozi wa Imetosha,Henry Mdimu amewataka watu wajitokeze katika harakati za kupambana na watu wenye imani potofu za kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).
Mdimu amesema uchunguzi umebaini ukosefu wa elimu kwa watu wenye imani hizo ndiyo hupelekea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi hivyo silaha ya elimu ni sehemu kubwa ya harakati hapa nchini.
Hayo ameyasema leo wakati alipokutana na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kusema kuwa ana mpango wa kwenda kanda...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-PesNRHlp7BE/VRf4uWxbEuI/AAAAAAADd7U/_NQE5vDSLqs/s72-c/DSCF7142.jpg)
MATEMBEZI YA HAMASA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-PesNRHlp7BE/VRf4uWxbEuI/AAAAAAADd7U/_NQE5vDSLqs/s1600/DSCF7142.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-XuXgCpGtdJg/VRf4yhDDneI/AAAAAAADd8Q/SE-1qSmsfYw/s1600/MMGL2338.jpg)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akihutubia katika viwanja vya leaders club baada ya kuhitimisha matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam...
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Matembezi ya hamasa kupiga vita mauaji ya Albino — Imetosha
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr, Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu, Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar sambamaba...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
HOUSTON, TEXAS NAO WASEMA "IMETOSHA" MAUAJI YA ALBINO TANZANIA
Ephaim (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Jenga siku ya Pazi Reunion iliyofanyika Houston. Jenga akiwa amevaa fulana yenye picha ya Albino ikiwa ni ishala ya kupinga mauaji ya ndugu zetu hao mabayo yametikisa Dunia hivi sasa.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-f9MaqyVxTlQ/VRe2eCfq5nI/AAAAAAAHN_g/PE_yiUFTVWI/s72-c/DSCF7142.jpg)
WENGI WAHAMASIKA KATIKA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA, JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-f9MaqyVxTlQ/VRe2eCfq5nI/AAAAAAAHN_g/PE_yiUFTVWI/s1600/DSCF7142.jpg)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
![](http://3.bp.blogspot.com/--OsGd_g5qVk/VRe2jDCf_pI/AAAAAAAHOAQ/IEgPocXwvYI/s1600/DSC_0730.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HYeU589VgXg/VRe2eKUdUOI/AAAAAAAHN_U/bd9ZA-D4TPA/s1600/DSCF7149.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Tasuba, Tucteda wanavyotumia sanaa shirikishi kupambana na mauaji ya albino Kanda ya Ziwa
TAASISI ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Tasuba), kwa kushirikiana na Mradi wa Sanaa kwa Maendeleo ya Jamii (Tucteda), chini ya ufadhili wa Swedish Institute, hivi karibuni waliendesha mafunzo kwa jamii...
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Kwa albino imetosha