Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa albino imetosha

Ole wetu wahusika, iwe ni waganga nyie, Migodini mwasikika, wavuvi niwaambie, Na wengine twawasaka, komeni msirudie, Nasema sintonyamaza, kwa albino imetosha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Imetosha: The struggle to end albino killings

Albino killings have become so rampant over the past couple of years, but in recent months the issue of albino killings has ascended to the category of a prominent problem in the country prompting various activists, politicians and the general public to react to the this bulging problem

 

10 years ago

Dewji Blog

Matembezi ya hamasa kupiga vita mauaji ya Albino — Imetosha

DSCF7142

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.

DSC_0573

DSCF7252

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr, Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu, Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar sambamaba...

 

10 years ago

Vijimambo

MATEMBEZI YA HAMASA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akihutubia katika viwanja vya leaders club baada ya kuhitimisha matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

HOUSTON, TEXAS NAO WASEMA "IMETOSHA" MAUAJI YA ALBINO TANZANIA


Ephaim (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Jenga siku ya Pazi Reunion iliyofanyika Houston. Jenga akiwa amevaa fulana yenye picha ya Albino ikiwa ni ishala ya kupinga mauaji ya ndugu zetu hao mabayo yametikisa Dunia hivi sasa.

 

10 years ago

Michuzi

Mwanahabari Henry Mdimu asema IMETOSHA! avaa njuga kupambana na mauaji ya Albino

Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya jhabari. Kampeni hiyo inajulikana kwa jina la Imetosha. Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam. Kampeni hiyo inajulikana kwa jina la Imetosha.Mchoraji maarufu na mmoja wa wanakamati wa kampeni za imetosha Masoud Kipanya (kulia) akizungumza na DW. Mchoraji maarufu na mmoja wa wanakamati wa kampeni za imetosha Masoud Kipanya (kulia) akizungumza na DW.Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia)  akihojiwa na DW mara baada ya mkutano wao. TBN imeunga mkono kampeni hizo zinazoongozwa na balozi wa kujitolea wa mapambano hayo, Henry Mdimu. Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kushoto) akihojiwa na DW mara baada ya mkutano wao. TBN imeunga mkono kampeni hizo zinazoongozwa na balozi wa kujitolea wa...

 

10 years ago

Michuzi

WENGI WAHAMASIKA KATIKA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA, JIJINI DAR LEO


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.Matembezi yakiendelea.
Wadau kutoka sekta mbali mbali wakishiriki kwenye Matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders...

 

10 years ago

Vijimambo

Taasisi ya Imetosha yatoa msaada kwa kituo cha Buhangija Shinyanga.


Toka kushoto ni Kathrin Hoff, kijana Paulo, Masoud Kipanya na Balozi Henry Mdimu.
Taasisis ya Imetosha ya jijini Dar es Salaam leo hii imepeleka misaada mbali mbali katika kijiji cha watoto wasioona cha Buhangija, Shinyanga ambacho kwa sasa kinahifadhi pia watoto na vijana wenye ualbino takriban 300. Misaada hiyo ikiwemo mabelo ya mitumba 2 moja la masweta na jingine la suruali za jeans, unga, mchele, maharage, sukari, chumvi, ndoo 3 za mafuta ya kupikia, sabuni za kufulia box 8, vile vile...

 

10 years ago

GPL

HONGERA BAYPORT: JICHO LENU KWA ALBINO LINA MAANA KWA TAIFA

Meneja Mauzo wa Bayport, Lugano Kasambala (kulia) akitoa mchango na pole kwa Ester Jonas. SIKU chache zimepita kama nilipata kusikia maneno ya busara kutoka kwa Meneja Mauzo wa Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala. Mkuu huyo wa taasisi hiyo inayojihusisha na mikopo hapa nchini alizungumzia kwa kina vita dhidi ya mauaji ya Albino inayoendelea kushika kasi hapa nchini. Kasambala alikoleza kile...

 

10 years ago

Bongo5

Iggy Azalea amchana Snoop Dogg kwa kumtania Instagram kwa picha ya mwanamke albino

Iggy Azalea hajapendezwa na utani wa Snoop Dogg. Hivi karibuni, Snoop alipost picha ya utani (meme) kwenye ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha mwanamke albino na kuandika: “Iggy Azalea No Make Up.” Iggy hajafurahishwa na utani huo na ametumia Twitter kumwambia ukweli. “Kwanini upost picha ya aina hiyo kwenye Insta wakati huwa unawatuma mabodyguard wako kuniomba […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani