Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HONGERA BAYPORT: JICHO LENU KWA ALBINO LINA MAANA KWA TAIFA

Meneja Mauzo wa Bayport, Lugano Kasambala (kulia) akitoa mchango na pole kwa Ester Jonas. SIKU chache zimepita kama nilipata kusikia maneno ya busara kutoka kwa Meneja Mauzo wa Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala. Mkuu huyo wa taasisi hiyo inayojihusisha na mikopo hapa nchini alizungumzia kwa kina vita dhidi ya mauaji ya Albino inayoendelea kushika kasi hapa nchini. Kasambala alikoleza kile...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Al Shaimar kwa ushirikiano na Bayport wa wazitembelea familia za watoto Albino waliopoteza maisha Jijini Mwanza

Meneja Mauzo wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugaano Kasambala, akimpa pole Ester Jonas, mama wa Yohana Bahati, mtoto mwenye ulemavu wa ngozi albino, aliuawa mkoani Mwanza, hivi karibuni. Mama huyo anatibiwa katika Hospitali ya Bugando baada ya kupata mareraha katika tukio la kuvamiwa na kuporwa mtoto wake. Kulia kwa Kasambala ni Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimar Kweigyir mwenye miwani waliyeambatana katika safari hiyo kwa ajili ya kuwapa pole na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taifa linashuka thamani kwa mauaji ya albino

VITENDO vya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) vimekuwa vikipigiwa kelele kwa miaka mingi sasa lakini vinaoneka kukosa ufumbuzi. Mauaji ya watu hao wenye...

 

10 years ago

GPL

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0‏

 Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.  Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo , wakati akitoa Fahirisi za bei za taifa kwa mwezi Januari, 2015. Kulia ni Kaimu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Arusha itazamwe kwa jicho la tatu

KATIKA historia ya Tanzania, Mkoa wa Arusha umekuwa kati ya maeneo yenye kubeba tunu nyingi za nchi hii, hususan katika sekta ya utalii na madini. Kutokana na fursa hizo, Mkoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji gesi watazamwe kwa jicho la pili

Wakati shughuli za uwekezaji zikiendelea kwa kasi ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi, mpaka sasa inakadiriwa kuwapo na utajiri wa futi za ujazo trilioni 46 huku Serikali kupitia Shirika la Maendeleo la Petroli nchini (TPDC) likiendelea kusaini mikataba na kampuni mbalimbali katika shughuli za utafutaji wa nishati hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Furaha ya mwanamke kuona kwa jicho bandia

Mwanamke mmoja nchini Uingereza, ambaye amekuwa akipoteza uwezo wake wa kuona, ameelezea furaha yake baada ya kuweza kuona tena kwa kutumia ‘jicho bandia’.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndugai: Taifa lina tatizo la mgawanyo wa rasilimali

Mbunge wa Kongwa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameomba ushauri kwa Seneta Amos Wako wa Kenya kuhusu mgawanyo wa rasilimali za taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Akidi kupimwa kwa jicho la Spika ni kejeli

Gazeti hili toleo la jana lilikuwa na habari iliyosema wabunge 33 ndiyo waliopitisha Muswada wa Benki ya Posta Tanzania. Idadi hiyo ni ndogo ikilinganishwa na idadi ya wabunge wote ambao ni 356 na nusu yao ni 178. Mahudhurio duni bungeni yameanza kukithiri katika Bunge hili la 10 na kuzoeleka kama tabia au utamaduni mpya wa wabunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani