Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndugai: Taifa lina tatizo la mgawanyo wa rasilimali

Mbunge wa Kongwa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameomba ushauri kwa Seneta Amos Wako wa Kenya kuhusu mgawanyo wa rasilimali za taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TGNP yahizimiza mgawanyo rasilimali

KAIMU Mkurugezi wa Mtandao wa Jinsia (TGNP), Lilian Liundi, amesema nguvu ya pamoja katika kusimamia mgawanyo wa rasilimali inahitajika, ili kuleta mabadiliko katika jamii iliyoko pembezoni. Lilian aliitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yafagiliwa mgawanyo rasilimali

TANZANIA imetajwa kama mfano wa kuigwa katika mgawanyiko sahihi wa rasilimali za taifa kwenye sekta ya elimu. Imetajwa kwamba imesambaza rasilimali zake kwa kuhakikisha kuwa kila mtoto wa Mtanzania anayefikisha umri wa kwenda shule anasoma jambo ambalo linaepusha malalamiko kutoa kwenye jamii.

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe Bunge Maalum kupigania usawa na mgawanyo wa rasilimali

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fredrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika Mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Usimamizi na ulinzi wa rasilimali za Taifa uwe ajenda ya Rais ajaye

Kumekucha! Mbio za urais zimeanza kutimua vumbi. Wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametangaza nia na kuchukua fomu za kutaka kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

GPL

HONGERA BAYPORT: JICHO LENU KWA ALBINO LINA MAANA KWA TAIFA

Meneja Mauzo wa Bayport, Lugano Kasambala (kulia) akitoa mchango na pole kwa Ester Jonas. SIKU chache zimepita kama nilipata kusikia maneno ya busara kutoka kwa Meneja Mauzo wa Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala. Mkuu huyo wa taasisi hiyo inayojihusisha na mikopo hapa nchini alizungumzia kwa kina vita dhidi ya mauaji ya Albino inayoendelea kushika kasi hapa nchini. Kasambala alikoleza kile...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukata tatizo Taifa Queens

Ukata umeiondoa timu ya taifa ya netiboli (Taifa Queens) kushiriki kwenye mashindano ya Afrika ya kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Dunia la netiboli mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Cannavaro: Beki Taifa Stars tatizo

>Nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema safu yao ya ulinzi imekuwa ikifanya makosa mengi yanayoigharimu timu hiyo, lakini amewatoa hofu mashabiki kuwa hali hiyo haitajirudia kwenye mchezo ujao dhidi ya Msumbiji.

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars : Tatizo ni makocha au wachezaji?

Itakumbukwa Agosti 26,1979 Taifa Stars ilikuwa ikihitaji sare ya aina yoyote dhidi ya Zambia ili ifuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki mwaka 1968.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania: Taifa lenye mikakati mizuri, tatizo ni utekelezaji

Kwa muda mrefu Serikali imekuwa ikianzisha mipango, sera, miradi na mikakati mbalimbali ya kilimo kwa lengo kuinua uchumi wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani