Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TGNP yahizimiza mgawanyo rasilimali

KAIMU Mkurugezi wa Mtandao wa Jinsia (TGNP), Lilian Liundi, amesema nguvu ya pamoja katika kusimamia mgawanyo wa rasilimali inahitajika, ili kuleta mabadiliko katika jamii iliyoko pembezoni. Lilian aliitoa kauli hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Tanzania yafagiliwa mgawanyo rasilimali

TANZANIA imetajwa kama mfano wa kuigwa katika mgawanyiko sahihi wa rasilimali za taifa kwenye sekta ya elimu. Imetajwa kwamba imesambaza rasilimali zake kwa kuhakikisha kuwa kila mtoto wa Mtanzania anayefikisha umri wa kwenda shule anasoma jambo ambalo linaepusha malalamiko kutoa kwenye jamii.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndugai: Taifa lina tatizo la mgawanyo wa rasilimali

Mbunge wa Kongwa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameomba ushauri kwa Seneta Amos Wako wa Kenya kuhusu mgawanyo wa rasilimali za taifa.

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe Bunge Maalum kupigania usawa na mgawanyo wa rasilimali

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fredrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika Mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgawanyo wa kata wamtingisha Mbatia

Wagombea udiwani wa Chadema katika kata 16 za Jimbo la Vunjo lililopo mkoani Kilimanjaro, wametangaza kutomuunga mkono mgombea ubunge wa jimbo hilo wa NCCR Mageuzi ambacho ni kati ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia.

 

9 years ago

Mwananchi

Kuna umuhimu wa mgawanyo wa madaraka

Wiki hii, Rais Jakaya Kikwete alifanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wawili, kuziba nafasi za Leonidas Gama aliyekuwa Mkoa wa Kilimanjaro na Stella Manyanya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, ambao wote wameacha kazi na kwenda kugombea ubunge.

 

9 years ago

Habarileo

Mgawanyo wa majimbo waibeba Chadema

UMOJA wa vyama vinne vya upinzani (Ukawa), umetoa rasmi mgawanyo wake wa majimbo ya ubunge kwa upande wa Tanzania Bara, baada ya kukubaliana, ambapo Chadema kimeongoza kwa kuwa na majimbo mengi kuliko vyama vingine.

 

9 years ago

GPL

MGAWANYO RASMI WA MAJIMBO YA UKAWA

Mara
Rorya CDM
Tarime Mjini CDM
Tarime Vijijini CDM
Musoma Vijijini CDM
Butiama CDM
Bunda Mjini CDM
Mwibara CDM
Musoma Mjini CDM
Bunda Vijijini CDM
Simiyu
Bariadi CDM
Maswa magharibi CDM
Maswa mashariki CDM
Kisesa CDM
Meatu CDM
Itilima CDM
Busega CUF
Shinyanga
Msalala CDM
Kahama Mjini CDM
Kahama Vijijini CDM
Shinyanga Mjini CDM
Kishapu CDM
Ushetu CDM
Mwanza
Ukerewe CDM
Magu CDM
Nyamagana CDM
Kwimba...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgawanyo wa mapato watikisa Bunge Maalumu

>Hoja kuhusu mgawanyo wa mapato ya muungano imeendelea kulitikisa Bunge Maalumu la Katiba na jana watendaji wakuu wa wizara za fedha wa muungano na Zanzibar pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu walitua Dodoma kuweka mambo sawa.

 

10 years ago

Habarileo

Mgawanyo wa halmashauri kuzaa majimbo ya uchaguzi

WILAYA ya Kahama huenda ikapata jimbo jipya la uchaguzi kutokana na kuonekana kuna mwingiliano na utata mkubwa katika usimamizi wa uchaguzi katika baadhi ya kata baada ya kugawanywa kwa halmashauri tatu hivi karibuni ndani ya majimbo mawili ya uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani