Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yafagiliwa mgawanyo rasilimali

TANZANIA imetajwa kama mfano wa kuigwa katika mgawanyiko sahihi wa rasilimali za taifa kwenye sekta ya elimu. Imetajwa kwamba imesambaza rasilimali zake kwa kuhakikisha kuwa kila mtoto wa Mtanzania anayefikisha umri wa kwenda shule anasoma jambo ambalo linaepusha malalamiko kutoa kwenye jamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TGNP yahizimiza mgawanyo rasilimali

KAIMU Mkurugezi wa Mtandao wa Jinsia (TGNP), Lilian Liundi, amesema nguvu ya pamoja katika kusimamia mgawanyo wa rasilimali inahitajika, ili kuleta mabadiliko katika jamii iliyoko pembezoni. Lilian aliitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndugai: Taifa lina tatizo la mgawanyo wa rasilimali

Mbunge wa Kongwa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameomba ushauri kwa Seneta Amos Wako wa Kenya kuhusu mgawanyo wa rasilimali za taifa.

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe Bunge Maalum kupigania usawa na mgawanyo wa rasilimali

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fredrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika Mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB BANK YAFAGILIWA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni za wastaafu PPF, Bw.William Erio ameipongeza benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa benki bora yenye huduma nzuri zaidi hapa nchini. 

Bw. Erio aliyasema hayo jijini Arusha jana katika hafla ya chakula cha jioni kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa PPF iliyofanyika katika hoteli ya Naura Springs.

 Mkurugenzi huyo alisema kuwa Shirika lake lina faraja kubwa kuona benki ya CRDB ambayo PPF ni mmoja ya wanahisa wake wakuu, ikiendelea vizuri na kufikia viwango vya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgawanyo na uuteuzi wa Madiwani Wanawake viti maalum Halmashauri zote Tanzania Bara, 2015!

Nec

 

MAJINA YA MADIWANI WANAWAKE VITI MAALUM TANZANIA BARA 2015

 

11 years ago

Michuzi

Rasilimali watu na Haki ya Kuzaliwa Tanzania…..Part I

Katika karne iliyopita, wasomi mbali mbali wakiwepo wanauchumi, pamoja na wataalamu wa maswala ya kijamii waligundua umuhimu wa rasilimali watu katika kukua kwa uchumi wa dunia. Kuwepo kwa elimu bora, na ujuzi katika nafsi ya binadamu huwasaidia watu kujitengenezea vipato vikubwa. Tanzania inahitaji idadi kubwa ya rasilimali watu ili iweze kupiga hatua kubwa za kiuchumi.
Kuwepo kwa mali asili kama madini, mafuta na gesi asilia kwa kiwango kikubwa imekuwa laana kwa mataifa kwani yamekuwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kwa rasilimali ilizonazo, Tanzania inapaswa kuongoza katika AGOA

RAIS Barak Obama, tangu ameingia madarakani, amekuwa akisisitiza mtazamo na sera yake kuhusu Afrika ni ‘Biashara badala ya misaada’.

Kutokana na msimamo huo amekuwa akiwaeleza viongozi wa bara hili, kila alipokutana nao, kuwa nchi za Kiafrika haziwezi kuendelea kwa kutegemea misaada kutoka mataifa tajiri kama vile Marekani, hata  kama misaada hiyo ni mikubwa kiasi gani.

Mara nyingi ameziasa nchi hizi kuacha kutegemea misaada kama msingi wa maendeleo, badala yake zitumie rasilimali...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAANDALIWA FUTARI NA IDARA YA RASILIMALI WATU YA KAMPUNI HIYO

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali watu ya kampuni hiyo  kwa ajiri ya wafanyakazi wake  ikiwa ni sehemu ya  muendelezo wa mfungo wa mwezi  mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani