TIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA YATEMBELEA KITUO CHA BUHANGIJA, MKOANI SHINYANGA
Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi. Akiongea na watoto kituoni hapo Mwenyekiti wa harakati za Imetosha Masoud Ali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTaasisi ya Imetosha yatoa msaada kwa kituo cha Buhangija Shinyanga.
Toka kushoto ni Kathrin Hoff, kijana Paulo, Masoud Kipanya na Balozi Henry Mdimu.
Taasisis ya Imetosha ya jijini Dar es Salaam leo hii imepeleka misaada mbali mbali katika kijiji cha watoto wasioona cha Buhangija, Shinyanga ambacho kwa sasa kinahifadhi pia watoto na vijana wenye ualbino takriban 300. Misaada hiyo ikiwemo mabelo ya mitumba 2 moja la masweta na jingine la suruali za jeans, unga, mchele, maharage, sukari, chumvi, ndoo 3 za mafuta ya kupikia, sabuni za kufulia box 8, vile vile...
10 years ago
GPLTAASISI YA IMETOSHA YATOA MSAADA KITUO CHA WATOTO CHA BUHANGIJA, SHINYANGA
9 years ago
MichuziTaasisis ya Brigitte Alfred yajenga Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo Buhangija Mkoani Shinyanga
10 years ago
MichuziNIC YATOA MSAADA WA VIFAA VYA ELIMU KWA WATOTO WENYE UONI HAFIFU KITUO CHA ALBINO BUHANGIJA SHINYANGA
10 years ago
MichuziTIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA KUELEKEA KANDA YA ZIWA KUTOA SOMO
Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari
Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo utaongozwa na mwenyekiti wa taasisi hiyo Bw Masoud Kipanya, Balozi Henry Mdimu Mgaya na katibu Salome...
5 years ago
MichuziDC MBONEKO AONGOZA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA MABADILIKO KUKABIDHI BWENI KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA
Kikundi cha Wanawake na Mabadiliko Manispaa ya Shinyanga (Women For Change - WFC) kimekabidhi bweni walilokarabati kwenye kituo cha kulea watoto wenye ulemavu mbalimbali cha Buhangija Jumuishi, wakiwamo na watoto wenye ualbino kwa ajili ya kuwaweka katika mazingira mazuri. Zoezi la kukabidhi bweni ambalo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, limefanyika leo Alhamis Machi 5, 2020 ambapo mgeni Rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, huku hafla hiyo fupi...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Pinda ashiriki hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burudani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya mavazi...
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
Waomba kituo maalumu cha watoto walemavu Buhangija kusaidiwa zahanati
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose Nyamubi mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo kabla ya kuelekea kwenye kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo mkoani Shinyanga.
Na mwandishi wetu, Shinyanga
MKUU wa wilaya ya Shinyanga AnneRose Nyamubi...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA JAMBO YAMWAGA MSAADA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA
Kampuni ya vinywaji Jambo Products ya mkoani Shinyanga, imetoa misaada mbalimbali ikiwemo chakula kwenye kituo cha kulea watoto wenye ualbino cha Buhangija Jumuishi kilichopo Mjini Shinyanga .
Akizungumza wakati wa kutoa msaada huo leo Alhamis Februari 20,2020, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Esme Salum, akiambatana na wachezaji wa timu ya Stand United ambayo wanaifadhili, amesema wameamua kutoa sehemu ya faida ambayo wanaipata kusaidia watoto hao wenye ualbino ili kuwapa faraja. Amesema...