INSPEKTA WA POLISI AANZA KUTOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-vS5nzfirdvs/VVInmQHp1yI/AAAAAAAHW4Y/Ihqa59XtwuQ/s72-c/mwanza_town.jpg)
Na Daniel Mbega, MwanzaSHAHIDI wa sita katika kesi ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Mkaguzi wa Polisi (Inspector) David Mhanaya, ameanza kutoa ushahidi wake leo hii katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.Mbele ya Jaji Robert Makaramba anayesikiliza Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014, shahidi huyo ametumia siku nzima kutoa ushahidi wake akiongozwa na mawakili wa serikali Emil Kiria, Esther Majaliwa na Robert Kilando.Hata hivyo, Jaji Makaramba aliahirisha kesi hiyo hadi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 May
INSPEKTA WA POLISI ATOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA
SHAHIDI wa sita katika kesi ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Mkaguzi wa Polisi (Inspector) David Mhanaya, ameanza kutoa ushahidi wake leo hii katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.
Mbele ya Jaji Robert Makaramba anayesikiliza Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014, shahidi huyo ametumia siku nzima kutoa ushahidi wake akiongozwa na mawakili wa serikali Emil Kiria, Esther Majaliwa na Robert Kilando.
Hata hivyo, Jaji Makaramba aliahirisha kesi hiyo hadi...
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
Ushahidi wakwamisha kesi dhidi ya ukatili kwa albino
Mtaalamu wa masuala ya vyombo vya habari jamii na Mkufunzi Bi Rose Haji Mwalimu (aliyesimama) wakati wa ufunguzi kijiji cha Usagara, wilayani Misungwi mkoani Mwanza hivi karibuni.
Na Modewjiblog team, Mwanza
Tabia ya watu kukwepa kutoa ushahidi mahakamani ni sababu mojawapo ya wahalifu wa mauaji ya albino kutotiwa hatiani na kuachiwa huru.
Hayo yameelezwa katika warsha zilizoendeshwa mfululizo wilayani Misungwi, Kahama na Bariadi za ushirikishwaji wa jamii katika kuzuia na kutokomeza...
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Mashahidi kesi ya mauaji ya Msuya waanza kutoa ushahidi
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Shahidi atumia saa mbili kutoa ushahidi kesi ya Ponda
9 years ago
Bongo515 Oct
Jay Z aingia kortini kutoa ushahidi wa kesi ya haki miliki ya hit yake Big Pimpin
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qnj9WuR_GCY/VPhewKYDRmI/AAAAAAAHH2Q/lj0rpbxb8CQ/s72-c/DSC_0273.jpg)
Mdau Henry Mdimu aanza harakati za kutoa somo kwa wauaji wa albino
Balozi wa Imetosha,Henry Mdimu amewataka watu wajitokeze katika harakati za kupambana na watu wenye imani potofu za kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).
Mdimu amesema uchunguzi umebaini ukosefu wa elimu kwa watu wenye imani hizo ndiyo hupelekea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi hivyo silaha ya elimu ni sehemu kubwa ya harakati hapa nchini.
Hayo ameyasema leo wakati alipokutana na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kusema kuwa ana mpango wa kwenda kanda...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PheqtEYh_6Y/XujSw9KputI/AAAAAAALuEc/NzOuqZIwDuoLvf3xIbY9etWsDeOOff-ggCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.18.35%2BPM.jpeg)
MASHAHIDI 28 KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI INAYOMKABILI MTUHUMIWA ANAYEDAIWA KUMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA MAGUNIA MAWILI YA MKAA
JUMLA ya mashahidi 28 akiwemo Mtaalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Hadija Mwema wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said Luongo (38) anayedaiwa kumuua mke wake kwa kumchoma na magunia mawili ya mkaa.
Mbali na mashahidi hao, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) atawasilisha mahakamani hapo vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio la mauaji, maelezo ya onyo ya mshitakiwa, ungamo la mshitakiwa kwa mlinzi wa...
10 years ago
CloudsFM22 Jan
POLISI MWANZA WAMSAKA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA
POLISI wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani kwake na kupelekwa mahali pasipojulikana mwezi uliopita mkoani Mwanza.
Awali watu 15 walikamatwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kufuatia msako unaojulikana kama 'Hakuna kulala' dhidi mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Pendo Emanuel kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 27.12.2014 nyumbani kwao...
10 years ago
MichuziNAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI AFUNGA MAFUNZO YA WAKAGUZIWASAIDIZI WA JESHI LA POLISI CCP-MOSHI