Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema vitendo vya mauaji ya albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo nchini.
Amesema kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.
Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Aug
Waomba operesheni tokomeza mauaji ya albino
SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi (SHIVYAWATA) limeiomba Serikali kuendesha operesheni maalumu ya kutokomeza vitendo vya mauaji dhidi ya walemavu wa ngozi (albino) ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati kwa ajili ya kuwabaini watu wanaojihusisha na matukio hayo ili sheria ichukue mkondo wake.
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
UN yataka juhudi zaidi kukabili mauaji ya Albino
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake akiwa kituoni hapo bila msaada wa muuguzi.
Na Mwandishi wetu
MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, na...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0233.jpg)
UN YATAKA JUHUDI ZAIDI KUKABILI MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
Habarileo31 Dec
Polisi waomba CCTV Mji Mkongwe kukabili uhalifu
JESHI la Polisi Zanzibar limeitaka Serikali pamoja na taasisi binafsi sekta ya utalii kuangalia uwezekano wa kupatikana kwa huduma za kamera (CCTV) za kuchunguza matukio ya uhalifu katika maeneo ya Mji Mkongwe ili kupambana na vitendo hivyo ambavyo vinalipaka matope jina zuri la Zanzibar.
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Polisi yataka ushirikiano kukabili wahalifu
10 years ago
Michuzi11 Mar
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Sumatra Kilimanjaro waomba ushirikiano
MAMLAKA ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), Mkoa wa Kilimanjaro, imewaomba wananchi kutoa taarifa kwa askari wa usalama barabarani pale wanapopanda daladala ambazo madereva wake hawazingatii sheria zilizowekwa ikiwamo...