Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yataka ushirikiano kukabili wahalifu

 Jeshi la Polisi nchini limeiangukia jamii kuomba ushirikiano wa karibu kutoka kwa wananchi katika kuibua vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kujitokeza nchini ikiwamo milipuko ya mabomu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Polisi yataka ushirikiano kuzuia ajali

JESHI la Polisi mkoani hapa limeitaka jamii kuacha kuchoma moto vituo vya Polisi pindi zitokeapo ajali za barabarani na kueleza kuwa hilo si suluhisho bali ni uharibifu unaorudisha nyuma maendeleo.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema  vitendo vya mauaji ya  albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo   nchini.

Amesema  kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao  waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.

Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uingereza yataka kukabili kitisho cha IS

Uingereza imetaka kuruhusiwa na bunge kushambulia maeneo ya wapiganaji wa Islamic State ili kudhibiti mashambulio yao

 

10 years ago

Dewji Blog

UN yataka juhudi zaidi kukabili mauaji ya Albino

DSC_0233

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye  anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake akiwa kituoni hapo bila msaada wa muuguzi. 

Na Mwandishi wetu

MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, na...

 

10 years ago

GPL

UN YATAKA JUHUDI ZAIDI KUKABILI MAUAJI YA ALBINO‏

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake akiwa kituoni hapo bila msaada wa muuguzi. Na...

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza ushirikiano kukabili tabia nchi

RAIS Jakaya Kikwete amesema kutokana na kiwango kilichofikiwa cha Tabia Nchi hivi sasa, nchi za Afrika hazina budi kuungana na kuchukua hatua za kupunguza madhara ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa pamoja.

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili

GU9A8625

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na hifadhi endelevu ya wanyamapori uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jumuiya ya kimataifa kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana na majangili...

 

11 years ago

Habarileo

Waombwa ushirikiano kukabili malaria majumbani

KITENGO cha kupambana na malaria Zanzibar kimewataka wananchi kutoa ushirikiano mkubwa katika kufanikisha kazi ya kupiga dawa majumbani itakayofanyika wiki ijayo katika shehia 68.

 

9 years ago

Habarileo

Tanzania yataka ushirikiano kusaidia wakimbizi

TANZANIA imetoa mwito kwa Jumuiya ya Kimataifa kushirikiana nayo katika wajibu wa kuwalinda na kuwapatia misaada ya kibinadamu, wakimbizi wanaokimbia machafuko, vita na migogoro katika nchi zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani