Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ahimiza ushirikiano kukabili tabia nchi

RAIS Jakaya Kikwete amesema kutokana na kiwango kilichofikiwa cha Tabia Nchi hivi sasa, nchi za Afrika hazina budi kuungana na kuchukua hatua za kupunguza madhara ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa pamoja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi

IMG_1116

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.

Hayo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bil. 9.3/- kukabili mabadiliko tabia nchi

KATIKA harakati za kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi Afrika, nchi tajiri zimetoa sh. bilioni 9.3 kwa nchi za Afrika katika kukabiliana na hali hiyo. Hayo yalielezwa mwishoni mwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Asasi zatoa mwelekeo kukabili mabadiliko ya tabia nchi

WIKI hii Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, aliitisha mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi ambao ulihusisha viongozi kutoka serikalini, masuala ya fedha, biashara na asasi za kiraia....

 

9 years ago

Habarileo

Bilal ahimiza utayari mkataba mpya mabadiliko tabia nchi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amezitaka nchi za Afrika kuwa tayari kwa makubaliano mapya yatakayowezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

 

9 years ago

Dewji Blog

UN, Serikali zataka vijana kuongoza katika kukabili mabadiliko tabia nchi Singida

IMG_4985

Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Chigulu Charles akitoa neno la ukaribisho kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone katika ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani Singida.

Na Modewjiblog team, Singida

MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Mipango ya Maendeleola umoja huo (UNDP)...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Mahenge azindua tovuti ya mabadliko ya tabia nchi.

Mheshimiwa      Eng  Dkt. Binirithi S.  Mahenge  (mbunge)  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa  Rais (mazingira) azindua tovuti ya mabadiliko ya tabia  nchi. Katika hotuba yake fupi ya uzinduzi wa tovuti hiyo, aliyoandaliwa kwa ufadhili wa serikali ya Denmark Mh. Binirithi  Mhenge amesema kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi huangaliwa kwa muda wa miaka 30 hivyo kwa kipindi hiki chote kumekuwa na madhara mengi yatokanayo na athari za mabadiliko ya tabia Nchi ikiwa ongezeko la joto, kina cha bahari...

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

RC Singida ahimiza ushirikiano

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone, amewataka wakazi wa Kanda ya Kati kutoa taarifa sahihi kwa wadadisi na wahariri wa utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi, ili Serikali iweze kutambua hali halisi ya ajira nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ahimiza ushirikiano na Msumbiji

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema ushirikiano wa Tanzania na Msumbiji ni wa kudumu na umekuwa na manufaa makubwa ya kuimarisha mshikamano na umoja baina ya nchi mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani