Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ufunguzi wa mkutano wa 20 wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabia Nchi MJini Lima Nchini Peru

Wa pili kulia ni katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Dkt Omar Dadi Shajak, Kushoto Mkurugenzi wa Mazingira Offisi ya Makamu wa Rais Dkt Julius Ningu, Nyuma KUlia MKurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais ambae pia ni Mtaalamu wa Mabadiliko ya Taibia Nchi wakifuatilia hotuba ya  Ufunguzi wa mkutano wa 20 wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabia Nchi MJini Lima Nchini Peru. Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 20 WA KIMATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI DUNIANI (COP 20) UNAOENDELEA JIJI LIMA NCHINI PERU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Desemba 09, 2014 amemuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwenyekiti Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali Barani Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi, kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mazingira Duniani (Cop20) unaofanyika jijini Lima, Peru.Pamoja na shughuli nyingine ambazo zimemuhusisha Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Bilal katika Mkutano huo ikiwa pamoja na kuwa eneo la Mazingira nchini liko chini ya...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKI MKUTANO MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NCHINI ETHIOPIA

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
VIONGOZI nchini wametakiwa kushiriki katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utakaofanyika Julai 13 na 16 Addis Ababa Ethiopia.


Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (CAN),Sixsbaty Mwanga amesema mkutano huo ni muhimu kutokana hali iliyopo sasa katika mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuongezeka ukame ,njaa pamoja na mafuriko, hivyo viongozi wanaweza kushawishi mkutano katika kuongeza...

 

9 years ago

Habarileo

Bilal ahimiza utayari mkataba mpya mabadiliko tabia nchi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amezitaka nchi za Afrika kuwa tayari kwa makubaliano mapya yatakayowezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

 

10 years ago

Michuzi

Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi mjini Geneva

Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi mjini Geneva pamoja na Balozi wa Tanzania anaetuwakilisha nchini Uswiss na Vienna. Mh Modest Mero. 

 

10 years ago

Dewji Blog

Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi

IMG_1116

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.

Hayo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bila afungua mkutano wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa nchi za maziwa makuu na nchi majirani za umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA)

02

kamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo  ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tabia nchi yaunganisha mataifa

Umoja wa ulaya na mataifa 79 ya Afrika, eneo la Pacific na Caribbean wameungana ili kufikia muafaka wa mazungumzo ya Paris.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na mabadiliko ya tabia nchi

Mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa yakileta madhara duniani ,nchini Tanzanian mamlaka ya hali ya hewa imetoa taarifa kwa uuma

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani