Polisi waomba CCTV Mji Mkongwe kukabili uhalifu
JESHI la Polisi Zanzibar limeitaka Serikali pamoja na taasisi binafsi sekta ya utalii kuangalia uwezekano wa kupatikana kwa huduma za kamera (CCTV) za kuchunguza matukio ya uhalifu katika maeneo ya Mji Mkongwe ili kupambana na vitendo hivyo ambavyo vinalipaka matope jina zuri la Zanzibar.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-5O7y54n38sw/VYRE4itnq7I/AAAAAAAByVM/ahnw3S8KvZo/s72-c/526.jpg)
CCTV CAMERA ZAFUNGWA MJI MKONGWE ZANZIBAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-5O7y54n38sw/VYRE4itnq7I/AAAAAAAByVM/ahnw3S8KvZo/s640/526.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla juu ya mfumo wa utendaji kazi wa mradi wa Camera za kurikodi matukio mbali mbali ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Kulia ya Balozi Sei ni Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yun Liang.
![](http://1.bp.blogspot.com/-DDu9_6pwYJg/VYRE43PFFAI/AAAAAAAByVQ/B3sB8iB2lw0/s640/527.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YOwStKEYPW4/VYRE45OeFcI/AAAAAAAByVU/jzMgZfW7Cus/s640/541.jpg)
9 years ago
Habarileo01 Jan
Polisi kukabili uhalifu mwaka mpya
JESHI la Polisi limesema katika siku ya Sikukuu ya Mwaka mpya imejipanga katika mikoa yote nchini kuhakikisha vitendo vyote vya uhalifu vinadhibitiwa.
9 years ago
Habarileo27 Oct
Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe
WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino
![Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Isaya-Mngulu.jpg)
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema vitendo vya mauaji ya albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo nchini.
Amesema kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.
Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...
10 years ago
Habarileo03 Apr
Jeshi la Polisi lajipanga kukabili uhalifu Pasaka
JESHI la Polisi nchini limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya uhalifu na kuwa makini na mali zao wakati huu wa sikukuu ya Pasaka.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Arusha kutumia CCTV kudhibiti uhalifu
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Zanzibar kufunga CCTV kudhibiti uhalifu
11 years ago
Habarileo04 Jul
Mji Mkongwe Zanzibar hatarini
MJI Mkongwe wa Zanzibar unadaiwa kuwa katika hatari ya kuondolewa kwenye ramani ya Hifadhi ya Urithi wa Kimataifa. Hali hiyo inatokana na hujuma zinazofanywa na watu wasiofahamika kwenye miundombinu yake, ikiwemo nguzo za taa.
10 years ago
Habarileo10 Jul
70 % ya majengo Mji Mkongwe hoi
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema asilimia 70 ya majengo ya nyumba zilizopo Mji Mkongwe yamechakaa na mengine kuhatarisha usalama wa wananchi, ikiwemo wapita njia.