Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe
WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdjP5CiMqZxFtcgL01GzKjcLBZ2YgajqtgbxoOeXUK9yArLEHd9daj2QGqqFtk2D8gONPG-uQMYBXvBul*XQyecq/polisi.jpg?width=650)
POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI
10 years ago
Michuzi03 Mar
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe (Cuf) Ismail Jussa Ladhu azungumza na watanzania DMV
10 years ago
Habarileo31 Dec
Polisi waomba CCTV Mji Mkongwe kukabili uhalifu
JESHI la Polisi Zanzibar limeitaka Serikali pamoja na taasisi binafsi sekta ya utalii kuangalia uwezekano wa kupatikana kwa huduma za kamera (CCTV) za kuchunguza matukio ya uhalifu katika maeneo ya Mji Mkongwe ili kupambana na vitendo hivyo ambavyo vinalipaka matope jina zuri la Zanzibar.
10 years ago
GPLBUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA VURUGU KUHUSU POLISI KUWASHAMBULIA WAFUASI WA CUF
10 years ago
Habarileo10 Jul
70 % ya majengo Mji Mkongwe hoi
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema asilimia 70 ya majengo ya nyumba zilizopo Mji Mkongwe yamechakaa na mengine kuhatarisha usalama wa wananchi, ikiwemo wapita njia.
11 years ago
Habarileo04 Jul
Mji Mkongwe Zanzibar hatarini
MJI Mkongwe wa Zanzibar unadaiwa kuwa katika hatari ya kuondolewa kwenye ramani ya Hifadhi ya Urithi wa Kimataifa. Hali hiyo inatokana na hujuma zinazofanywa na watu wasiofahamika kwenye miundombinu yake, ikiwemo nguzo za taa.
11 years ago
Habarileo19 Apr
Mwanasiasa mkongwe haoni mantiki ‘vurugu’ bungeni
MWANASIASA wa siku nyingi hapa nchini, Pancras Ndejembi amesema haoni mantiki ya wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususa vikao vya bunge la katiba na kutaka kukimbilia kwa wananchi.
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Ali Salehe ajitosa ubunge Mji Mkongwe
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MWANDISHI wa habari mkongwe, Ali Saleh Ali, ni miongoni mwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) waliochukua fomu za kuwania nafasi ya ubunge wa Mji Mkongwe visiwani Zanzibar. Kaimu Katibu wa jimbo hilo wa CUF, Nassor Amin Said, alisema mwandishi huyo anafanya idadi ya wanachama wane waliojitokeza hadi sasa kuchukua fomu za ubunge ambapo wawili ndio waliorejesha. Aliwataja wanachama wengine ni waliochukua fomu kuwa ni Mohamed Noor Mohamed, Badru Adam Ali na mbunge...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-5O7y54n38sw/VYRE4itnq7I/AAAAAAAByVM/ahnw3S8KvZo/s72-c/526.jpg)
CCTV CAMERA ZAFUNGWA MJI MKONGWE ZANZIBAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-5O7y54n38sw/VYRE4itnq7I/AAAAAAAByVM/ahnw3S8KvZo/s640/526.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla juu ya mfumo wa utendaji kazi wa mradi wa Camera za kurikodi matukio mbali mbali ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Kulia ya Balozi Sei ni Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yun Liang.
![](http://1.bp.blogspot.com/-DDu9_6pwYJg/VYRE43PFFAI/AAAAAAAByVQ/B3sB8iB2lw0/s640/527.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YOwStKEYPW4/VYRE45OeFcI/AAAAAAAByVU/jzMgZfW7Cus/s640/541.jpg)