POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kupiga mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa ulikuwa ukifanyika. Vurugu hizo, zimeibuliwa na kambi ya upinzani ambayo ilikuwa ikilalamikia kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyeapishwa hakuwa ameshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
VURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR
10 years ago
VijimamboPOLISI WAFYATUA MABOMU YA MACHOZI UBUNGO KUZUIA VURUGU.
10 years ago
Vijimambo
POLISI MWANZA WATAWANYISHA UKAWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
11 years ago
GPL
VURUGU MWEMBEYANGA, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA
10 years ago
Habarileo27 Oct
Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe
WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.
10 years ago
GPLMACHINGA DAR WASAMBARATISHWA KWA MABOMU YA MACHOZI KARUME
10 years ago
Mzalendo Zanzibar13 Sep
Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi
Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi. Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na […]
The post Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo20 Jan
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI






JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyanganywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...
10 years ago
CloudsFM10 Apr
Mgomo wa madereva,polisi wapiga Mabomu ya machozi kutawanyisha wananchi
MADEREVA wa mabasi ya mikoani na daladala wa jijini Dar leo wamefanya mgomo kupinga agizo la Mamlaka ya Kudhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) lililowataka kwenda kusoma katika Chuo cha Usafirishaji (NIT).
Mwandishi wetu amezunguka maeneo tofautitofauti jijini Dar na kujionea hali halisi ya mgomo wa mabasi ya mikoani pamoja na daladala...