POLISI MWANZA WATAWANYISHA UKAWA KWA MABOMU YA MACHOZI
Jeshi la polisi jiji Mwanza limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa vyama vinavyounda ukawa ili wasiandamane kwenda uwanja wa ndege wa Mwanza kumpokea mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, anayetarajiwa kuwasili jijini huko kusaka wadhaminiKamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Charles mkumbo, amesema mabomu hayo yametumika ili kuwazuia wafuasi hao wasiweze kujazana uwanjani hapo na kusimamisha shughuli nyingine.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPOLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Mabomu ya machozi yarindima Mwanza
9 years ago
Mzalendo Zanzibar13 Sep
Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi
Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi. Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na […]
The post Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo29 Sep
Chadema wafunika Mwanza, polisi watawanywa kwa mabomu
Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kuzuia maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katikati ya wiki iliyopita, umati mkubwa wa wakazi jijini hapa jana walifurika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mbugani kuwasikiliza viongozi wao wa kitaifa.
Viongozi hao ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu.Mkutano huo uliohutubiwa na viongozi hao, pia ulihudhuriwa na viongozi wa mkoa wa Mwanza wa vyama vya NCCR-Mageuzi na Chama...
10 years ago
VijimamboPOLISI WAFYATUA MABOMU YA MACHOZI UBUNGO KUZUIA VURUGU.
10 years ago
Vijimambo20 Jan
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI
JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyanganywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...
10 years ago
CloudsFM10 Apr
Mgomo wa madereva,polisi wapiga Mabomu ya machozi kutawanyisha wananchi
MADEREVA wa mabasi ya mikoani na daladala wa jijini Dar leo wamefanya mgomo kupinga agizo la Mamlaka ya Kudhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) lililowataka kwenda kusoma katika Chuo cha Usafirishaji (NIT).
Mwandishi wetu amezunguka maeneo tofautitofauti jijini Dar na kujionea hali halisi ya mgomo wa mabasi ya mikoani pamoja na daladala...
10 years ago
Michuzi20 Jan
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI NAIROBI, KENYA
JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyang'anywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...
10 years ago
GPLVURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR