POLISI WAFYATUA MABOMU YA MACHOZI UBUNGO KUZUIA VURUGU.
Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kufyatua mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa serikali Mitaazinafanyika. Vurugu hizo, zimeibuliwa na kambi ya upinzani ambayo imelalamikia kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyeapishwa hakuwa ameshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka jana.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPOLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI
10 years ago
GPLVURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR
11 years ago
GPLVURUGU MWEMBEYANGA, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Breaking News!!! Â Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima
…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar13 Sep
Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi
Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi. Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na […]
The post Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
VijimamboPOLISI MWANZA WATAWANYISHA UKAWA KWA MABOMU YA MACHOZI
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
10 years ago
Vijimambo20 Jan
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI
JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyanganywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...
10 years ago
CloudsFM10 Apr
Mgomo wa madereva,polisi wapiga Mabomu ya machozi kutawanyisha wananchi
MADEREVA wa mabasi ya mikoani na daladala wa jijini Dar leo wamefanya mgomo kupinga agizo la Mamlaka ya Kudhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) lililowataka kwenda kusoma katika Chuo cha Usafirishaji (NIT).
Mwandishi wetu amezunguka maeneo tofautitofauti jijini Dar na kujionea hali halisi ya mgomo wa mabasi ya mikoani pamoja na daladala...
10 years ago
Michuzi20 Jan
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI NAIROBI, KENYA
JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyang'anywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...