VURUGU MWEMBEYANGA, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
VURUGU kubwa zimetokea katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke jijini Dar wakati wa tamasha la uzinduzi wa redio mpya ya EFM. Vurugu hizo zilizuka wakati burudani zikiendelea baada ya wananchi kuanza kurusha mawe na askari kuamua kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya. Kutokana na vurugu hizo, tamasha halikuweza kuendelea na inadaiwa baadhi ya watu wamejeruhiwa kwenye vurugu hizo. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 May
Exclusive Mgomo wa madereva: Mabomu ya Machozi muda huu yapigwa hali mbaya
Kiongozi wa madereva nchini, Rashid Said, akiongea na umati wa madereva kaatika sakata hilo ambapo alikuwa akitoa ufafanuzi na namna ya kumsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike eneo hilo kuongea na madereva hao.
News Alert; MUDA HUU SAA KUMI NA DAKIKA 19 !!!!!!MABOMU MABOMU MABOMU !!! ASKARI POLISI SASA HIVI WANAPIGA MABOMU HOVYO YA MACHOZI TAYARI WAMEPIGA MAWILI WATU WANAKIMBIA HOVYO!
**Mgomo kuwa wa muda mrefu zaidi: madereva wasema hata wakikaa siku tatu watakula biskuti
Na Andrew...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdjP5CiMqZxFtcgL01GzKjcLBZ2YgajqtgbxoOeXUK9yArLEHd9daj2QGqqFtk2D8gONPG-uQMYBXvBul*XQyecq/polisi.jpg?width=650)
POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI
10 years ago
VijimamboPOLISI WAFYATUA MABOMU YA MACHOZI UBUNGO KUZUIA VURUGU.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCxu2LB3sDsIGMleJ9ijNgmmGPLZK7Yy-3I-vuFigcFpJQTCCQ*ezB*J7m5uDw6ArFzRNZuywsoE0RcEc6gxEs3r/KARUME.jpg?width=650)
VURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Mabomu ya machozi yarindima Mwanza
10 years ago
Habarileo27 Sep
Chadema Kahama wapigwa mabomu ya machozi
POLISI wilayani Kahama wametumia mabomu ya machozi kutawanya maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupinga kuendelea kwa Bunge la Katiba.
9 years ago
StarTV02 Nov
Mabomu ya machozi yatawala dimba la Mkwakwani.
Hali ya taharuki imeibuka kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani wakati wa mchezo kati ya Coastal Union ya jijini Tanga na Mbeya City.
Mashabiki wa Cost unioni walifikia uamuzi huo baada ya kudai kuwa mwamuzi ndiye aliyewasababishia penalt hiyo kwa sababu zake binafsi.
Taharuki ilianza baada ya mbea City kupata goli moja dakika ya tisini kupitia kwa mchezaji wake Raphael Alpha.
Baada yua matokeo hayo,washabiki cost union wakaanza kurusha mawe uwanjani huku wakitaka kuvunja milango ya kuingilia...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar13 Sep
Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi
Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi. Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na […]
The post Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Mabomu ya machozi yarindima mkutano wa mgombea wa CCM