Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabomu ya machozi yatawala dimba la Mkwakwani.

 

Hali ya taharuki imeibuka kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani wakati wa mchezo kati ya Coastal Union ya jijini Tanga na Mbeya City.

Mashabiki wa Cost unioni walifikia uamuzi huo baada ya kudai kuwa mwamuzi ndiye aliyewasababishia penalt hiyo kwa sababu zake binafsi.

Taharuki ilianza baada ya mbea City kupata goli moja dakika ya tisini kupitia kwa mchezaji wake Raphael Alpha.

Baada yua matokeo hayo,washabiki cost union wakaanza kurusha mawe uwanjani huku wakitaka kuvunja milango ya kuingilia...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mabomu Arusha yatawala hotuba za Mei Mosi

SHEREHE za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) mkoani Arusha zimetawaliwa na hotuba kuhusu milipuko ya mabomu iliyosababisha vifo vya watu na kuwaacha wengine na ulemavu wa kudumu. Hotuba hizo zilitolewa...

 

10 years ago

Vijimambo

MABOMU YATAWALA CHUO CHA KAMPALA BAADA YA KUTOKEA MGOMO

Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Kimataifa Cha Kampala (KIU) wakiwa katika maandamano leo katika chuo hicho baada ya Kitivo cha Famasia kushindwa kutambulika na mamlaka mbalimbali. Askari wa Polisi wakiwa katika gari na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) waliowakamata katika maandamano hayo.Rais wa  Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala (KIUPESO),Elias Mbogho akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maandamano yaliyofanyika leo katika hicho jijini Dar...

 

9 years ago

Mwananchi

Mabomu ya machozi yarindima Mwanza

Polisi mkoani Mwanza wametumia mabomu ya machozi mapema leo kutawanya watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa Chadema  walioingia mitaani kushangilia wakiamini wagombea wao wanaongoza katika matokeo ya awali.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema Kahama wapigwa mabomu ya machozi

POLISI wilayani Kahama wametumia mabomu ya machozi kutawanya maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupinga kuendelea kwa Bunge la Katiba.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi

Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi. Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na […]

The post Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

VURUGU MWEMBEYANGA, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA

VURUGU kubwa zimetokea katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke jijini Dar wakati wa tamasha la uzinduzi wa redio mpya ya EFM. Vurugu hizo zilizuka wakati burudani zikiendelea baada ya wananchi kuanza kurusha mawe na askari kuamua kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya. Kutokana na vurugu hizo, tamasha halikuweza kuendelea na inadaiwa baadhi ya watu wamejeruhiwa kwenye vurugu hizo. ...

 

9 years ago

Mwananchi

Mabomu ya machozi yarindima mkutano wa mgombea wa CCM

Vijana 50 wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa Chadema, wanadaiwa kufanya fujo kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea wa ubunge wa CCM katika Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha na kusababisha polisi wawatawanye kwa mabomu ya machozi.

 

10 years ago

GPL

MACHINGA DAR WASAMBARATISHWA KWA MABOMU YA MACHOZI KARUME

Baadhi ya wananchi na machinga wakikimbia. Hali ilivyokuwa baada ya…

 

10 years ago

Vijimambo

POLISI WAFYATUA MABOMU YA MACHOZI UBUNGO KUZUIA VURUGU.

Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kufyatua mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa serikali Mitaazinafanyika. Vurugu hizo, zimeibuliwa na kambi ya upinzani ambayo imelalamikia kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyeapishwa hakuwa ameshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani