MACHINGA DAR WASAMBARATISHWA KWA MABOMU YA MACHOZI KARUME
Baadhi ya wananchi na machinga wakikimbia. Hali ilivyokuwa baada ya…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
VURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR
Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam jioni hii limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga wanaolazimisha kufanyia biashara eneo la Karume baada ya kukataa kuondoka eneo hilo kwa ustaarabu na kuzua vurugu. (Picha na Gabriel Ng'osha / Global Whatsapp 0753 715 779)
10 years ago
GPL
POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI
Polisi jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kupiga mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa ulikuwa ukifanyika. Vurugu hizo, zimeibuliwa na kambi ya upinzani ambayo ilikuwa ikilalamikia kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyeapishwa hakuwa ameshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka...
10 years ago
GPLPOLISI WATUMIA MABOMU KUWATAWANYA MACHINGA WALIOANDAMANA JIJINI DAR LEO
Moto uliowashwa na machinga ukiwaka barabarani eneo la Kamata, Kariakoo jijini Dar leo. Gari la zimamoto likiwasili eneo la kamata kuzima moto uliowashwa na machinga.…
10 years ago
GPLMGOMO DALADALA, MABASI WAZIDI KUTIKISA DAR, MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA!
Baadhi ya abiria wakionekana kurudi kwao baada ya kushindwa kusafiri. Mtetezi wa Chama cha Abiria Nchini, Gervas Lutakuzinga akizungumza na wanahabari ikiwa ni siku ya pili ya mgomo wa mabasi na daladala za jijini Dar es Salaam.…
10 years ago
Vijimambo
POLISI MWANZA WATAWANYISHA UKAWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
10 years ago
GPL
WANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI
Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa na wananchi barabarani.…
11 years ago
Habarileo12 Jun
Mabomu yatawanya machinga Mwanza
POLISI mkoani hapa wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga waliocharuka baada ya kuona vibanda vyao walivyojenga maeneo yasiyoruhusiwa vikibomolewa.
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Waathirika wa moto Karume wahamishiwe Machinga Complex
Kati ya changamoto kubwa zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam ni uhaba wa masoko yenye miundombinu bora.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Mabomu ya machozi yarindima Mwanza
Polisi mkoani Mwanza wametumia mabomu ya machozi mapema leo kutawanya watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa Chadema walioingia mitaani kushangilia wakiamini wagombea wao wanaongoza katika matokeo ya awali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania