70 % ya majengo Mji Mkongwe hoi
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema asilimia 70 ya majengo ya nyumba zilizopo Mji Mkongwe yamechakaa na mengine kuhatarisha usalama wa wananchi, ikiwemo wapita njia.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Jul
Mji Mkongwe Zanzibar hatarini
MJI Mkongwe wa Zanzibar unadaiwa kuwa katika hatari ya kuondolewa kwenye ramani ya Hifadhi ya Urithi wa Kimataifa. Hali hiyo inatokana na hujuma zinazofanywa na watu wasiofahamika kwenye miundombinu yake, ikiwemo nguzo za taa.
10 years ago
VijimamboCCTV CAMERA ZAFUNGWA MJI MKONGWE ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla juu ya mfumo wa utendaji kazi wa mradi wa Camera za kurikodi matukio mbali mbali ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Kulia ya Balozi Sei ni Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yun Liang.
Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla akionyesha picha...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Ali Salehe ajitosa ubunge Mji Mkongwe
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MWANDISHI wa habari mkongwe, Ali Saleh Ali, ni miongoni mwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) waliochukua fomu za kuwania nafasi ya ubunge wa Mji Mkongwe visiwani Zanzibar. Kaimu Katibu wa jimbo hilo wa CUF, Nassor Amin Said, alisema mwandishi huyo anafanya idadi ya wanachama wane waliojitokeza hadi sasa kuchukua fomu za ubunge ambapo wawili ndio waliorejesha. Aliwataja wanachama wengine ni waliochukua fomu kuwa ni Mohamed Noor Mohamed, Badru Adam Ali na mbunge...
11 years ago
Habarileo21 Dec
‘Doria kuwa endelevu maeneo Mji Mkongwe’
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema doria katika maeneo ya Mji Mkongwe na sehemu nyingine itakuwa endelevu kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uhalifu, ikiwemo tindikali kwa wageni.
9 years ago
Habarileo27 Oct
Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe
WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.
10 years ago
GPLJENGO LAANGUKA NA KUJERUHI WATU MJI MKONGWE, ZANZIBAR
10 years ago
Habarileo31 Dec
Polisi waomba CCTV Mji Mkongwe kukabili uhalifu
JESHI la Polisi Zanzibar limeitaka Serikali pamoja na taasisi binafsi sekta ya utalii kuangalia uwezekano wa kupatikana kwa huduma za kamera (CCTV) za kuchunguza matukio ya uhalifu katika maeneo ya Mji Mkongwe ili kupambana na vitendo hivyo ambavyo vinalipaka matope jina zuri la Zanzibar.
10 years ago
Dewji Blog03 Mar
Wawekezaji wa Mji Mkongwe: ni Neema au Fedheha kwa Wakaazi wenyeji?
Hakika kwa mtu yoyote anayekaa mji Mkong’we, hasa katika maeneo ambayo yamevamiwa na hoteli za kitaali, makazi katika mji wa kihistoria umekuwa ni bughdha kubwa. Mmoja wa wakazi hao anasema, “Watoto wetu wamekuwa sasa wanashinda na kucheza na walinzi wa kampuni za ulinzi maana maeneo yote yananunuliwa au kuchukuliwa na wageni wanaoanzisha biashara jambo linalowafanya wenyeji wengi kuuhama Mji Mkongwe.
Huduma nyingi za msingi zimekuwa kama ndoto Mji Mkongwe. Kwa mfano kwa wakaazi wa Shangani...
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF ATEMBELEA ENEO LA JENGO LILILOANGUKA JANA MJI MKONGWE ZANZIBAR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amezitaka Mamlaka zinazosimamia majengo katika enelo la Mji Mkongwe Zanzibar kuwa na utaratibu mzuri wa kuyakagua ili kuhakikisha uimara wake na kuepusha maafa kwa watumiaji na jamii nzima.
Maalim...