Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawekezaji wa Mji Mkongwe: ni Neema au Fedheha kwa Wakaazi wenyeji?

dsc_02493

Hakika kwa mtu yoyote anayekaa mji Mkong’we, hasa katika maeneo ambayo yamevamiwa na hoteli za kitaali, makazi katika mji wa kihistoria umekuwa ni bughdha kubwa. Mmoja wa wakazi hao anasema, “Watoto wetu wamekuwa sasa wanashinda na kucheza na walinzi wa kampuni za ulinzi maana maeneo yote yananunuliwa au kuchukuliwa na wageni wanaoanzisha biashara jambo linalowafanya wenyeji wengi kuuhama Mji Mkongwe.

Huduma nyingi za msingi zimekuwa kama ndoto Mji Mkongwe. Kwa mfano kwa wakaazi wa Shangani...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wageni wavuna neema Ziwa Nyasa, wenyeji wananyonywa

Eneo la Liuli lililo mwambao wa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya samaki wa mapambo; zaidi ya aina 125 za samaki hao.

 

11 years ago

Michuzi

wakaazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoniani Manyara wachanga damu

Mkaazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoniani Manyara, Japhary Matimbwa akichangia damu  kwenye kituo cha Afya Mirerani katika zoezi la kuchangia damu lililofanyika katika mji huo. Anayemhud ni mtaalamu wa maabara wa kituo hicho, Dr Fanuel Laizer. 

 

10 years ago

Habarileo

70 % ya majengo Mji Mkongwe hoi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema asilimia 70 ya majengo ya nyumba zilizopo Mji Mkongwe yamechakaa na mengine kuhatarisha usalama wa wananchi, ikiwemo wapita njia.

 

11 years ago

Habarileo

Mji Mkongwe Zanzibar hatarini

MJI Mkongwe wa Zanzibar unadaiwa kuwa katika hatari ya kuondolewa kwenye ramani ya Hifadhi ya Urithi wa Kimataifa. Hali hiyo inatokana na hujuma zinazofanywa na watu wasiofahamika kwenye miundombinu yake, ikiwemo nguzo za taa.

 

10 years ago

Mtanzania

Ali Salehe ajitosa ubunge Mji Mkongwe

ally-saleh1Na Is-haka Omar, Zanzibar

MWANDISHI wa habari mkongwe, Ali Saleh Ali, ni miongoni mwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) waliochukua fomu za kuwania nafasi ya ubunge wa Mji Mkongwe visiwani Zanzibar. Kaimu Katibu wa jimbo hilo wa CUF, Nassor Amin Said, alisema mwandishi huyo anafanya idadi ya wanachama wane waliojitokeza hadi sasa kuchukua fomu za ubunge ambapo wawili ndio waliorejesha. Aliwataja wanachama wengine ni waliochukua fomu kuwa ni Mohamed Noor Mohamed, Badru Adam Ali na mbunge...

 

11 years ago

Habarileo

‘Doria kuwa endelevu maeneo Mji Mkongwe’

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema doria katika maeneo ya Mji Mkongwe na sehemu nyingine itakuwa endelevu kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uhalifu, ikiwemo tindikali kwa wageni.

 

10 years ago

Vijimambo

CCTV CAMERA ZAFUNGWA MJI MKONGWE ZANZIBAR


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla juu ya mfumo wa utendaji kazi wa mradi wa Camera za kurikodi matukio mbali mbali ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.

Kulia ya Balozi Sei ni Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yun Liang.
Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla akionyesha picha...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe

WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waomba CCTV Mji Mkongwe kukabili uhalifu

JESHI la Polisi Zanzibar limeitaka Serikali pamoja na taasisi binafsi sekta ya utalii kuangalia uwezekano wa kupatikana kwa huduma za kamera (CCTV) za kuchunguza matukio ya uhalifu katika maeneo ya Mji Mkongwe ili kupambana na vitendo hivyo ambavyo vinalipaka matope jina zuri la Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani