Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tatizo la kuchelewa kupata ujauzito-3

mimbaWiki hii tunaendelea na sehemu ya mwisho ya makala hii ili wiki ijayo nianze nyingine.

MATATIZO KATIKA SHINGO YA KIZAZI
Tatizo hili linaweza kuwa la kuzaliwa nalo, likasababishwa na matumizi ya baadhi ya madawa kwa mama mjamzito ukajikuta unazaa mtoto anapata kasoro katika viungo vyake mojawapo ni viungo vya uzazi.

Tatizo katika viungo vya uzazi pia linaweza kusababishwa na maambukizi, upasuaji au magonjwa sugu katika uke au shingo ya uzazi.

Mwanamke mwenye tatizo hili hulalamika maumivu...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO

TUNAPOSEMA tatizo la kutopata ujauzito ina maana mume na mke au watu walio katika uhusiano wa kutafuta ujauzito ndani ya mwaka mmoja lakini wameshindwa. Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani kiwango cha chini ni mwaka mmoja. Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie malengo ya kuwa na familia.  Mwanamke na mwanaume wote wanahusika katika tatizo hili, mara nyingi imeonekana ni tatizo la mwanamke....

 

11 years ago

GPL

TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO - 2

Wiki iliyopita tuliona tatizo hili kwa upande wa wanaume, leo tuliangalie kwa upande wa wanawake.
Kama ilivyo kwa mwanaume, mwanamke pia anahitaji uchunguzi wa kina, kwani tatizo linaweza kusababishwa na mambo mengi. Matatizo yanaweza kuanzia ukeni yakapanda ndani au yakaanzia humohumo ndani.
Matatizo ya uzazi kwa mwanamke yamegawanyika katika maeneo tofauti, unaweza kuwa na tatizo katika mirija ya uzazi, mfumo wa homoni au...

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO-2

WIKI iliyopita tuliishia kwa kusema kuwa, kipindi cha ujauzito pia hugawanywa katika vipindi vitatu vilivyo sawa miezi mitatumitatu ambavyo kitaalamu huitwa ‘Trimesters’. Kigezo kinachotumika kugawa vipindi hivi ni matukio yanayofanyika katika muda husika.
Kipindi cha uumbaji
Kipindi hiki huanza tangu mimba kutungwa mpaka miezi mitatu ya awali. Katika kipindi hiki ndipo viungo vya mtoto vinapoumbwa na...

 

11 years ago

GPL

DALILI ZA TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO

IKIWA ni rahisi au vigumu kujigundua kama unauwezo wa kupata ujauzito au la, au kwa mwanaume kama ana uwezo wa kumpa mwanamke mimba au la. Tatizo la kutofanikiwa kupata ujauzito kwa mwanamke  linahusiana moja kwa moja na kuwepo na tatizo kwa mwanaume. Unaweza kusema kama una tatizo hili endapo unaishi katika mahusiano ya kutafuta ujauzito kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini hakuna mafanikio. Ili mwanamke apate mimba ni lazima awe...

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA UZAZI: Tatizo la kutopata ujauzito

>Mtu anaposema tatizo la kutopata ujauzito, ana maana mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku za mwanamke kupata ujauzito

Swali: Mimi ni binti wa miaka 21 ambaye ninapata siku zangu kila tarehe 15 ya kila mwezi. Nimekuwa nikitumia njia ya kalenda katika kujiepusha na mimba zisizotarajiwa.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mke na mume wanahusika na tatizo la kutopata ujauzito

Mtu anaposema tatizo la kutopata ujauzito, ana maana mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa. Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani wa kiwango cha chini ni mwaka mmoja. Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie malengo ya kuwa na familia. Mwanamke na mwanamume wote wanahusika katika tatizo hili japo mara nyingi huonekana ni la mwanamke. Kutoshika mimba kwa muda mrefu ni ugumba ua infertility kwa kitaalamu....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fanya haya kupata ujauzito haraka

BAADA ya kufanya maandalizi ya muda mrefu kujiweka tayari kwa ajili ya kupata ujauzito na kuwa mzazi, umewadia wakati wa kuutafuta huo ujauzito kwa vitendo. Kuna mambo mengi sana yanayosemwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unayotakiwa kufanya ili kupata ujauzito haraka — 2

WIKI iliyopita tuliangalia baadhi ya mambo unayotakiwa kuyafanya ili uweze kupata ujauzito kwa haraka. Leo tuendelee kuangalia jambo moja mahususi, nalo ni siku nzuri hasa ya kufanya mapenzi ili upate...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani