Kukabili tatizo la kutopata mimba
Kwa upande wa mwanamke zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha awe na tatizo la kutopata ujauzito.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO - 2
Wiki iliyopita tuliona tatizo hili kwa upande wa wanaume, leo tuliangalie kwa upande wa wanawake.
Kama ilivyo kwa mwanaume, mwanamke pia anahitaji uchunguzi wa kina, kwani tatizo linaweza kusababishwa na mambo mengi. Matatizo yanaweza kuanzia ukeni yakapanda ndani au yakaanzia humohumo ndani.
Matatizo ya uzazi kwa mwanamke yamegawanyika katika maeneo tofauti, unaweza kuwa na tatizo katika mirija ya uzazi, mfumo wa homoni au...
11 years ago
GPLTATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO
TUNAPOSEMA tatizo la kutopata ujauzito ina maana mume na mke au watu walio katika uhusiano wa kutafuta ujauzito ndani ya mwaka mmoja lakini wameshindwa. Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani kiwango cha chini ni mwaka mmoja. Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie malengo ya kuwa na familia. Mwanamke na mwanaume wote wanahusika katika tatizo hili, mara nyingi imeonekana ni tatizo la mwanamke....
11 years ago
GPLDALILI ZA TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO
IKIWA ni rahisi au vigumu kujigundua kama unauwezo wa kupata ujauzito au la, au kwa mwanaume kama ana uwezo wa kumpa mwanamke mimba au la. Tatizo la kutofanikiwa kupata ujauzito kwa mwanamke linahusiana moja kwa moja na kuwepo na tatizo kwa mwanaume. Unaweza kusema kama una tatizo hili endapo unaishi katika mahusiano ya kutafuta ujauzito kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini hakuna mafanikio. Ili mwanamke apate mimba ni lazima awe...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
AFYA YA UZAZI: Tatizo la kutopata ujauzito
>Mtu anaposema tatizo la kutopata ujauzito, ana maana mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa.
11 years ago
KwanzaJamii01 Aug
Mke na mume wanahusika na tatizo la kutopata ujauzito
Mtu anaposema tatizo la kutopata ujauzito, ana maana mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa.
Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani wa kiwango cha chini ni mwaka mmoja.
Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie malengo ya kuwa na familia.
Mwanamke na mwanamume wote wanahusika katika tatizo hili japo mara nyingi huonekana ni la mwanamke. Kutoshika mimba kwa muda mrefu ni ugumba ua infertility kwa kitaalamu....
11 years ago
GPLTATIZO LA KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA
Wapo ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata raha, husikia maumivu, mwanaume katika uume lakini ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili. Mwanamke anaweza kukosa raha kabisa na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni ukeni au kwa ndani zaidi. Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo ambayo ndiyo...
11 years ago
Habarileo25 Feb
Serikali kukabili tatizo la tabianchi
SERIKALI imesema bado inategemea fedha zaidi kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo ili kufanya mambo mengi zaidi katika kukabiliana na tatizo la tabianchi, ambalo kwa sasa limezikumba nchi nyingi duniani.
10 years ago
GPLSABABU ZA TATIZO LA KUTOKUPATA MIMBA-2
Leo nitaelezea matibabu na ushauri kwa wanandoa wanaokabiliwa na tatizo la mama kutopata mimba. Miongoni mwa mambo wanayopaswa kuelezwa wanandoa hao ni kuwapa uzoefu kuhusiana na afya ya uzazi na jinsi ujauzito unavyoweza kupatikana na hatimaye kupata mtoto.
 Pia kuona jinsi ya kuunganisha familia na kujenga familia bora kama itashindikana kupata mtoto bila mume kumtenga mke au mke kumtenga mume. Kutumia muda mwingi...
10 years ago
GPLTATIZO LA KUHARIBIKA KWA MIMBA (MISCARRIAGE)
Leo tumeamua kuzungumzia jambo hili ambalo huwakumba watu wengi sana katika familia zao, wengi wamekuwa wakitokewa na jambo hili katika mimba zao za kwanza na mimba zao zinazoendelea katika familia zao na kushindwa kupata watoto. Kuna wengine wanapata watoto au mtoto mmoja na baadaye wanashindwa kupata mtoto kwa sababu ya mimba zao kuwa zinaharibika mara kwa mara. Kwa kawaida kitabibu inaaminika kwamba asilimia 50 ya mimba zote...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania