Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YAENDELEA KUFANA KATIKA MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UDAMADUNI JIJINI DAR

Kundi kubwa la wanafunzi kutoka shule mbali mbali wakisherekea Maadhimisho ya Siku ya Makumbusho Duniani yanayo adhimishwa Kitaifa katika Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. Kundi kubwa la Wanafunzi walio udhuria maadhimisho yaSiku ya Makumbusho Duniani katika Viwanja vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaama wakimsikiliza Mwendesha kipindi cha watoto, Bw Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) hayupo Pichani. Pichani ni Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) na safu nzima ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUANZA RASMI KESHO MAKUMBUSHO YA TAIFA NA NYUMBA YA UTAMADUNI JIJINI DAR ES SALAAM

UNESCO inakusudia kushirikiana na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kusherehekea Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika kuanzia tarehe 25 hadi 29 Mei 2015. Iwapo jambo hili litafana mwaka huu lirudiwe tena mwaka kesho na hatimaye liwe ni la kila mwaka.
Wiki hii itaanza tarehe 25 Mei ya kila mwaka husherehekewa kwa njia mbalimbali ndania na nje ya Bara la Afrika kukumbuka siku ambayo viongozi wa nchi za kiafrika ambazo tayari zilikuwa huru walikutana waka 1963 na kuanzisha Umoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA MABADILIKO YA TABIANCHI LAFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO,JIJINI DAR

ASASI za Kiraia nchini zikiwemo Oxfam Tanzania, Forum CC na Norwegian Church Aid Actalliance  zafanya kongamano  la Kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa Chakula nchini.
Akizungumza  Afisa Miradi Msaidizi wa Shirika la Forum CC,Jonathan Sawaya alisema asasi hizo zimeona ni vema kuwakilisha sauti za wakulima  kwa serikali katika kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi.
Alisema  asilimia kubwa ya wakulima wengi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ITAKAYOFANYIKA MACHI, 7, 2015 MLIMANI CITY JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau. Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 KUFANA KTK UKUMBI WA DAR CARNIVAL

Siku ya wanawake duniani mwaka 2015 yafana katika ukumbi wa Dar carnival tazama picha wa matokeo zaidiKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Blass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani  na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa  Dar es Salaam leo asubuhi  yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANA JIJINI DAR LEO

 Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Mary's ya Mazinde Juu iliyopo mkoani Tanga wameibuka vinara wa shindano la uandishi wa barua lililoshirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali nchini katika kuadhimisha siku ya posta duniani.

Shindano hilo la uandishi wa barua  limeratibiwa na Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na umoja wa posta duniani.
Akizungumza  Dar es saalam leo katika hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya posta duniani, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI KWA WAFANYAKAZI,KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR

Ofisa muendeshaji wa Mfukowa pesheni wa mashirika ya umma PSPF, Bw, Hadji Jamadary kushoto akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam
Afisa muendeshaji wa mfuko wa pesheni wa mashirika ya uma PSPF Bw, Lule Kasembwe kushoto akitoa maelekezo kwa wazee waliojitokeza  Ofisa muendeshaji wa PSPF Hadji Jamadary kushoto akiwapatia mahelezo ya jinsi ya kujiunga na PSPF wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani