Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUANZA RASMI KESHO MAKUMBUSHO YA TAIFA NA NYUMBA YA UTAMADUNI JIJINI DAR ES SALAAM

UNESCO inakusudia kushirikiana na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kusherehekea Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika kuanzia tarehe 25 hadi 29 Mei 2015. Iwapo jambo hili litafana mwaka huu lirudiwe tena mwaka kesho na hatimaye liwe ni la kila mwaka.
Wiki hii itaanza tarehe 25 Mei ya kila mwaka husherehekewa kwa njia mbalimbali ndania na nje ya Bara la Afrika kukumbuka siku ambayo viongozi wa nchi za kiafrika ambazo tayari zilikuwa huru walikutana waka 1963 na kuanzisha Umoja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA BARA LA AFRIKA KUJADILI MIPANGO ENDELEVU NA MAFUNZO KUANZA KUFANYIKA KESHO HOTELI YA GIRRAFE JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto MwaibaleMKUTANO wa Nne wa Bara la Afrika wa kujadili mipango endelevu  katika eno la mafunzo kwa vijana na wataalamu  wasiojiweza na ushirikji wao katika soko la ajira, unatarajiwa kuanza kufanyika kesho Hoteli ya Girrafe jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo ambao utashirikisha nchi mbalimbali tisa unatarajiwa kuhudhuriwa na wageni 50 kutoka katika nchi hizo za Afrika.
Akizungumza na waaandishi wa habari kuhusu Dar es Salaam jana kuhusu mkutano huo, Meneja Mipango wa Ofisi ya Maendeleo...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA UKOMBOZI BARA LA AFRIKA,WANAWAKE WAELEZA NAMNA WALIVYOSHIRIKI KATIKA UKUMBOZI

 Mwenyekiti wa Bodi ya AICC na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika, Balozi Christopher Liundi akikata utepe katika maadhimisho hayo ikiwa leo ni siku ya Kuona Mchango wa Wanawake katika Ukombozi wa Bara la Afrika, maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Profesa Ruth Meene akizungumza na baadhi ya wanafunzi na watu wengine waliohudhuria (hawapo pichani) ili kujua mchango wa wanawake katika ukombozi wa Bara la Afrika,...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YAENDELEA KUFANA KATIKA MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UDAMADUNI JIJINI DAR

Kundi kubwa la wanafunzi kutoka shule mbali mbali wakisherekea Maadhimisho ya Siku ya Makumbusho Duniani yanayo adhimishwa Kitaifa katika Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. Kundi kubwa la Wanafunzi walio udhuria maadhimisho yaSiku ya Makumbusho Duniani katika Viwanja vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaama wakimsikiliza Mwendesha kipindi cha watoto, Bw Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) hayupo Pichani. Pichani ni Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) na safu nzima ya...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO

 Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika viwanja...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE MGENI RASMI UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UKOMBOZI BARANI AFRIKA.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene akizungumza na waandishi wa habari (hawapo) ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Msahuri,kumbukumbu za ukombozi wa Barani  Afrika,Daniel Ndagala, Mshauri na mtafiti UNESCO Phelippe Roisse na  wa mwisho ni Dinah Mumbaga Mtafiti na mshauri wa UNESCO.(Picha na Avila Kakingo).
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
WAZIRI wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Membe anatarajiwa kuwa mgeni...

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA YAANZA DAR!

Ukumbi ulioandaliwa kwa ajili ya serehe hizo. Katikati ni, Philipe Roisse kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa (UNESCO) akisalimiana na viongozi wengine. Meza kuu iliyoandaliwa.…

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA TANZANIA NA UNESCO KUADHIMISHA WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA NA KUZINDUA MRADI WA NYARAKA ZA URITHI WA TANZANIA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linalo shughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) itaadhimisha Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika kuanzia tarehe 25 hadi 29 Mei, 2015 kwa kufanya maonesho ya picha na kumbukumbu mbalimbali zinazoonesha na kuelezea harakati za ukombozi wa bara la Afrika pamoja na midahalo mbalimbali itakayowahusisha wasomi na baadhi wa watu mashuhuri walioshiriki katika harakati za ukombozi. Maadhimisho hayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam

IMG_0694

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.

Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani