Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEMBE MGENI RASMI UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UKOMBOZI BARANI AFRIKA.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene akizungumza na waandishi wa habari (hawapo) ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Msahuri,kumbukumbu za ukombozi wa Barani  Afrika,Daniel Ndagala, Mshauri na mtafiti UNESCO Phelippe Roisse na  wa mwisho ni Dinah Mumbaga Mtafiti na mshauri wa UNESCO.(Picha na Avila Kakingo).
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
WAZIRI wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Membe anatarajiwa kuwa mgeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wiki ya Ukombozi wa Afrika na Uzinduzi Mradi Uhifadhi Urithi Nyaraka Tanzania

Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akisoma hotuba ya uzinduzi akimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akisoma hotuba ya uzinduzi akimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Ofisa Mkuu na Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania, Mzulmira Rodrigues akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Ofisa Mkuu na Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania, Mzulmira Rodrigues...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA UKOMBOZI BARA LA AFRIKA,WANAWAKE WAELEZA NAMNA WALIVYOSHIRIKI KATIKA UKUMBOZI

 Mwenyekiti wa Bodi ya AICC na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika, Balozi Christopher Liundi akikata utepe katika maadhimisho hayo ikiwa leo ni siku ya Kuona Mchango wa Wanawake katika Ukombozi wa Bara la Afrika, maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Profesa Ruth Meene akizungumza na baadhi ya wanafunzi na watu wengine waliohudhuria (hawapo pichani) ili kujua mchango wa wanawake katika ukombozi wa Bara la Afrika,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA UHURU WA NAMIBIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa Jamhuri ya Namibia. Maadhimisho hayo ambayo yaliandaliwa na Ubalozi wa Namibia hapa nchini yalifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Machi, 2015. Namibia ilipata uhuru wake mwaka 1990.
Balozi Isaack akitoa hotuba wakati wa maadhimisho hayoWaziri Membe na Balozi Isaack wakikata keki kuadhimisha miaka 25 ya Uhuru wa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA WAUGUZI JIJINI DODOMA



Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa kilele cha  maadhimisho ya wiki ya Wauguzi katika   Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kushoto kwake ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Ernest Ebenzi.Baadhi ya Wauguzi wa   Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUANZA RASMI KESHO MAKUMBUSHO YA TAIFA NA NYUMBA YA UTAMADUNI JIJINI DAR ES SALAAM

UNESCO inakusudia kushirikiana na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kusherehekea Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika kuanzia tarehe 25 hadi 29 Mei 2015. Iwapo jambo hili litafana mwaka huu lirudiwe tena mwaka kesho na hatimaye liwe ni la kila mwaka.
Wiki hii itaanza tarehe 25 Mei ya kila mwaka husherehekewa kwa njia mbalimbali ndania na nje ya Bara la Afrika kukumbuka siku ambayo viongozi wa nchi za kiafrika ambazo tayari zilikuwa huru walikutana waka 1963 na kuanzisha Umoja wa...

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA YAANZA DAR!

Ukumbi ulioandaliwa kwa ajili ya serehe hizo. Katikati ni, Philipe Roisse kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa (UNESCO) akisalimiana na viongozi wengine. Meza kuu iliyoandaliwa.…

 

10 years ago

GPL

TANZANIA, UNESCO KUADHIMISHA WIKI YA UKOMBOZI AFRIKA

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), Assah Andrew Mwambene, akizungumza jambo.  Katikati ni  Philipe Roisse kutoka UNESCO, na mchunguzi wa masuala ya utamaduni Dr. Dinah Richard Mbaga. Wanahabari wakiwa kazini katika tukio hilo. Meza kuu…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Membe mgeni rasmi mahafali UB

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Jumamosi ya wiki hii anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya pili ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB). Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA


Mwenyekiti  wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi, Jimmy Charles. (Picha na Francis Dande) Msama akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya tamasha hilo.Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani