Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, USIWE MUNG’UNYA KUHARIBIKA UKUBWANI

MMH! Makubwa, madogo mbona yana nafuu? Katika matunda yanayonisikitisha maishani mwangu ni Mung’unya, eti likikomaa haliliki, sharti uliwahi likiwa bado changa ndipo hulika kwa raha. Tunda hili linanikumbusha baadhi ya wanawake wenzetu ambao wakiwa vijana walishindwa kujirusha, eti sasa wameshazeeka ndiyo wanataka kutoa shoo.Najua mimacho imekutoka na kujishuku, shoga eeh si kujishuku, kama una tabia mbaya uiache siyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

11 years ago

Mwananchi

Nini kinakuzuia usisome ukubwani?

‘’Elimu haina mwisho,’’walisema wahenga. Huu ni mmoja kati ya misemo kadhaa ya hekima iliyobuniwa kusisitiza nafasi ya elimu kwa binadamu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

DAR ES SALAAM ZOO: Ndoto ya utotoni uliyogeuka kweli ukubwani

ENEO la Dar es salaam Zoo lilikuwa jangwa tofauti na linavyoonekana sasa, kwani ukifika eneo utakutana na uoto wa kijani na wanyama wa aina mbalimbali ambao wengine hawajapatikana kwenye hifadhi...

 

10 years ago

GPL

STENDI YA MAKUMBUSHO YAANZA KUHARIBIKA

Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika. TAKRIBANI miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya ile ya Mwenge kuhamishwa, leo  kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo.… ...

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO-2

WIKI iliyopita tuliishia kwa kusema kuwa, kipindi cha ujauzito pia hugawanywa katika vipindi vitatu vilivyo sawa miezi mitatumitatu ambavyo kitaalamu huitwa ‘Trimesters’. Kigezo kinachotumika kugawa vipindi hivi ni matukio yanayofanyika katika muda husika.
Kipindi cha uumbaji
Kipindi hiki huanza tangu mimba kutungwa mpaka miezi mitatu ya awali. Katika kipindi hiki ndipo viungo vya mtoto vinapoumbwa na...

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA KWA MIMBA (MISCARRIAGE)

Leo tumeamua kuzungumzia jambo hili ambalo huwakumba watu wengi sana katika familia zao, wengi wamekuwa wakitokewa na jambo hili katika mimba zao za kwanza na mimba zao zinazoendelea katika familia zao na kushindwa kupata watoto. Kuna wengine wanapata watoto au mtoto mmoja na baadaye wanashindwa kupata mtoto kwa sababu ya mimba zao kuwa zinaharibika mara kwa mara. Kwa kawaida kitabibu inaaminika kwamba asilimia 50 ya mimba zote...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni

TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...

 

10 years ago

Mwananchi

NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA), Charles Walwa amesema wakala huyo atauza tani 75,000 za mahindi zilizonunuliwa mwaka jana na kununua tani nyingine 200,000 katika msimu huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani