Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA), Charles Walwa amesema wakala huyo atauza tani 75,000 za mahindi zilizonunuliwa mwaka jana na kununua tani nyingine 200,000 katika msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

NFRA yaombwa kununu tani 55,000

MKOA wa Tanga umeiomba Wakala wa Taifa wa Chakula (NFRA), kununua zaidi ya tani 55,000 za mahindi baada ya kukosa soko. Kauli hilo ilitolewa na Katibu Tawala wa mkoa huo, Salum...

 

10 years ago

Mwananchi

NFRA kununua mahindi Gairo

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ina mpango wa kununua tani 2,500 za mahindi katika Wilaya ya Gairo.

 

11 years ago

Habarileo

NFRA yajipanga kununua mahindi Sumbawanga

WAKALA wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamejipanga kununua mahindi kwa wakulima katika msimu huu wa ununuzi kwa kuzingatia viwango vya ubora.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIZA ATEMBELEA SOKO LA MAHINDI NFRA DODOMA

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Eng Christopher Chiza (Mb) akijibu kero za wakulima na wafanyabiashara waliopeleka mahindi NFRA Dodoma kwa ajili ya kuyauza,Wakati alipowatembelea jana.
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Eng Christopher Chiza akionyesha uchafu uliokuwa kwenye magunia ya mahindi yaliyopelekwa na wakulima na wafanyabiashara NFRA Dodoma kwa ajili ya kuyauza.
Mahindi yaliyonunuliwa na kituo cha NFRA Dodoma yakipangwa nje kitaalamu kwa ajili ya kuhifadhiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tani 7,400 za mahindi zakosa soko

Zaidi ya tani 7,400 za zao la mahindi zilizozalishwa na wakulima wadogo wa kata za Galapo na Qash wilayani Babati mkoani Manyara zimekosa soko na kurundikwa katika Soko la Galapo, eneo ambalo zinaweza kuharibika wakati wowote.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara ‘stop’ kuuza mahindi

Serikali imeiagiza Mamlaka ya Hifadhi ya Chakula ya Taifa (NFRA), kuacha kununua mahindi kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa, badala yake iwape kipaumbele wakulima ambao ndiyo walengwa wakubwa wa soko hilo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tanzania kuuza mahindi Kenya


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeruhusu  wafanyabishara  nchini  kuuza mahindi zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya.,  ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma, aliyasema hayo mjini hapa jana, wakati akitia saini makubaliano hayo na Katibu Mkuu wa Kilimo wa Kenya, Sicly Kariuki.
Alisema uamuzi huo unatokana na ombi la Serikali ya Kenya, kuuziwa mahindi meupe kutokana na upungufu mkubwa wa chakula...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania waruhusiwa kuuza mahindi nje

SERIKALI imewaruhusu Watanzania kununua mahindi nje ya nchi bila vikwazo vyovyote kutokana na kuwepo na ziada ya chakula nchini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Kilimo, Chakula na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani