Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NFRA yajipanga kununua mahindi Sumbawanga

WAKALA wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamejipanga kununua mahindi kwa wakulima katika msimu huu wa ununuzi kwa kuzingatia viwango vya ubora.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NFRA kununua mahindi Gairo

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ina mpango wa kununua tani 2,500 za mahindi katika Wilaya ya Gairo.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIZA ATEMBELEA SOKO LA MAHINDI NFRA DODOMA

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Eng Christopher Chiza (Mb) akijibu kero za wakulima na wafanyabiashara waliopeleka mahindi NFRA Dodoma kwa ajili ya kuyauza,Wakati alipowatembelea jana.
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Eng Christopher Chiza akionyesha uchafu uliokuwa kwenye magunia ya mahindi yaliyopelekwa na wakulima na wafanyabiashara NFRA Dodoma kwa ajili ya kuyauza.
Mahindi yaliyonunuliwa na kituo cha NFRA Dodoma yakipangwa nje kitaalamu kwa ajili ya kuhifadhiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA), Charles Walwa amesema wakala huyo atauza tani 75,000 za mahindi zilizonunuliwa mwaka jana na kununua tani nyingine 200,000 katika msimu huu.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yakopa bil 50/- kununua mahindi

SERIKALI imekopa Sh bilioni 50 katika benki ya CRDB kwa ajili ya kununua mahindi yaliyojazana kwa wakulima nchini, kutokana na kupata mavuno mengi mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Indonesia, Kenya kununua mahindi, mpunga nchini

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel BenderaMKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesema kilio cha wakulima kuhusu ukosefu wa masoko ya mazao kitakuwa ni cha kihistoria muda mfupi ujao baada ya nchi ya Kenya na Indonesia kueleza kusudio la kununua mazao ya chakula yanayolimwa kwa wingi katika mikoa iliyopo Kanda ya Mashariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zadai NFRA bilioni 1.3/-

WAKALA wa Hifadhi ya Taifa wa Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, inadaiwa na halmashauri mkoani humo zaidi ya Sh bilioni 1.3 zikiwa ni fedha za ushuru kwa mahindi waliyoiuzia wakala huyo kwa msimu huu wa kilimo.

 

11 years ago

Habarileo

NFRA yaongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka

WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wameongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kutoka tani 241,000 za sasa hadi tani 400,000 mwaka 2016.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani