Indonesia, Kenya kununua mahindi, mpunga nchini
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesema kilio cha wakulima kuhusu ukosefu wa masoko ya mazao kitakuwa ni cha kihistoria muda mfupi ujao baada ya nchi ya Kenya na Indonesia kueleza kusudio la kununua mazao ya chakula yanayolimwa kwa wingi katika mikoa iliyopo Kanda ya Mashariki.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi
9 years ago
Habarileo07 Oct
Kenya kununua gesi nchini
RAIS Uhuru Kenyatta amesema nchi yake itakuwa mteja wa gesi ya Tanzania mara itakapoanza kuuzwa nje baada ya uzinduzi unaotarajiwa kufanyika Mtwara Jumamosi wiki hii. Aidha, amesema Kenya ina deni kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na urafiki wao na uhusiano mkubwa kati ya nchi hizo mbili.
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Kampuni ya Mkulima kununua mpunga Songea
WAKATI Serikali inahangaika kutafuta masoko ya kuuzia mazao ya wakulima, kampuni ya kizalendo ya Mkulima Malt Purpose yenye makao yake makuu jijini Mbeya imejitosa kuanza kununua mpunga. Kampuni hiyo ambayo...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
NFRA kununua mahindi Gairo
11 years ago
Habarileo02 Aug
NFRA yajipanga kununua mahindi Sumbawanga
WAKALA wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamejipanga kununua mahindi kwa wakulima katika msimu huu wa ununuzi kwa kuzingatia viwango vya ubora.
10 years ago
Habarileo21 Nov
Serikali yakopa bil 50/- kununua mahindi
SERIKALI imekopa Sh bilioni 50 katika benki ya CRDB kwa ajili ya kununua mahindi yaliyojazana kwa wakulima nchini, kutokana na kupata mavuno mengi mwaka huu.
11 years ago
Uhuru Newspaper17 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeruhusu wafanyabishara nchini kuuza mahindi zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya., ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma, aliyasema hayo mjini hapa jana, wakati akitia saini makubaliano hayo na Katibu Mkuu wa Kilimo wa Kenya, Sicly Kariuki.
Alisema uamuzi huo unatokana na ombi la Serikali ya Kenya, kuuziwa mahindi meupe kutokana na upungufu mkubwa wa chakula...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Saini zatiwa mahindi meupe kuuzwa Kenya
SERIKALI imetoa fursa kwa wafanyabiashara wa hapa nchini kuuza mahindi meupe zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Baba wa Garil aliuawa kwa bomu nchini Indonesia