Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA), Charles Walwa amesema wakala huyo atauza tani 75,000 za mahindi zilizonunuliwa mwaka jana na kununua tani nyingine 200,000 katika msimu huu.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tanzania kuuza mahindi Kenya


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeruhusu  wafanyabishara  nchini  kuuza mahindi zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya.,  ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma, aliyasema hayo mjini hapa jana, wakati akitia saini makubaliano hayo na Katibu Mkuu wa Kilimo wa Kenya, Sicly Kariuki.
Alisema uamuzi huo unatokana na ombi la Serikali ya Kenya, kuuziwa mahindi meupe kutokana na upungufu mkubwa wa chakula...

 

10 years ago

Mwananchi

Tani 7,400 za mahindi zakosa soko

Zaidi ya tani 7,400 za zao la mahindi zilizozalishwa na wakulima wadogo wa kata za Galapo na Qash wilayani Babati mkoani Manyara zimekosa soko na kurundikwa katika Soko la Galapo, eneo ambalo zinaweza kuharibika wakati wowote.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara ‘stop’ kuuza mahindi

Serikali imeiagiza Mamlaka ya Hifadhi ya Chakula ya Taifa (NFRA), kuacha kununua mahindi kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa, badala yake iwape kipaumbele wakulima ambao ndiyo walengwa wakubwa wa soko hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania waruhusiwa kuuza mahindi nje

SERIKALI imewaruhusu Watanzania kununua mahindi nje ya nchi bila vikwazo vyovyote kutokana na kuwepo na ziada ya chakula nchini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Kilimo, Chakula na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda: Ruksa wakulima kuuza mahindi nje

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema ruksa kwa wakulima walio na mahindi kuuza nje ya nchi. Hatua hiyo imetokana na wakulima wengi kuzuiwa kuuza mahindi yao nje ya nchi huku wakiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Gunia la mahindi Sh. 12,000/-

WAKULIMA na wavuvi wa mjini Sumbawanga wameendelea kusota kutokana na kushuka kwa bei ya mahindi na samaki wabichi wanaovuliwa katika Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo kwa kukosa soko la uhakika.

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

11 years ago

Habarileo

Saini zatiwa mahindi meupe kuuzwa Kenya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia KadumaSERIKALI imetoa fursa kwa wafanyabiashara wa hapa nchini kuuza mahindi meupe zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani