Tanzania kuuza mahindi Kenya
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeruhusu wafanyabishara nchini kuuza mahindi zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya., ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma, aliyasema hayo mjini hapa jana, wakati akitia saini makubaliano hayo na Katibu Mkuu wa Kilimo wa Kenya, Sicly Kariuki.
Alisema uamuzi huo unatokana na ombi la Serikali ya Kenya, kuuziwa mahindi meupe kutokana na upungufu mkubwa wa chakula...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Wafanyabiashara ‘stop’ kuuza mahindi
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Watanzania waruhusiwa kuuza mahindi nje
SERIKALI imewaruhusu Watanzania kununua mahindi nje ya nchi bila vikwazo vyovyote kutokana na kuwepo na ziada ya chakula nchini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Kilimo, Chakula na...
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Pinda: Ruksa wakulima kuuza mahindi nje
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema ruksa kwa wakulima walio na mahindi kuuza nje ya nchi. Hatua hiyo imetokana na wakulima wengi kuzuiwa kuuza mahindi yao nje ya nchi huku wakiwa...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika
11 years ago
Habarileo10 Aug
Indonesia, Kenya kununua mahindi, mpunga nchini
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesema kilio cha wakulima kuhusu ukosefu wa masoko ya mazao kitakuwa ni cha kihistoria muda mfupi ujao baada ya nchi ya Kenya na Indonesia kueleza kusudio la kununua mazao ya chakula yanayolimwa kwa wingi katika mikoa iliyopo Kanda ya Mashariki.
11 years ago
Habarileo18 Jul
Saini zatiwa mahindi meupe kuuzwa Kenya
SERIKALI imetoa fursa kwa wafanyabiashara wa hapa nchini kuuza mahindi meupe zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Ni aibu Kenya, India kuuza Tanzanite nyingi
SI jambo la kufurahia hata kidogo taarifa za Kenya na India kuizidi Tanzania katika mauzo ya vito aina ya Tanzanite nje ya nchi. Tunasema si jambo la kufurahia kwakuwa Tanzania...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Tanzania sasa yagundua mbegu mpya ya mahindi