Ni aibu Kenya, India kuuza Tanzanite nyingi
SI jambo la kufurahia hata kidogo taarifa za Kenya na India kuizidi Tanzania katika mauzo ya vito aina ya Tanzanite nje ya nchi. Tunasema si jambo la kufurahia kwakuwa Tanzania...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
India, Kenya zinauzaje Tanzanite nyingi kuliko Tanzania?
NI suala rahisi kulielewa lakini ni gumu kuliamini. Habari kuwa Kenya na India zinaizidi Tanzania katika mauzo ya vito aina ya Tanzanite nje ya nchi ni rahisi kuilielewa kwa sababu linahusisha...
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Ni aibu India kuipiku Tanzania kwa uuzaji Tanzanite
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Kenya, India wanatuzidi mauzo ya Tanzanite?
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Kenya, India zaipiku Tanzania mauzo ya tanzanite
9 years ago
Habarileo06 Jan
Watu 23 wakamatwa kwa kuuza holela tanzanite
ZAIDI ya wafanyabiashara 23 wa madini aina ya Tanzanite wamekamatwa na kutozwa faini kwa kufanya biashara bila ya kuwa na leseni katika Mji wa Mererani wilayani Simanjiro na kwenye mitaa ya Jiji la Arusha .
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Aibu Tanzania kuuza malighafi nje
MATAIFA mengi Afrika yanapambana kupiga hatua kufikia uchumi mkubwa na kuachana na utegemezi kutoka kwa mataifa yaliyoendelea huku Tanzania ikiendelea na dhana kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu.
Katikati ya wiki, mchumi wa kimataifa aliyepata kufanya kazi Benki ya Dunia, Profesa Justin Yifu Li kutoka China, alisema jijini Dar es Salaam kwamba umasikini si majaaliwa Afrika, bali ni janga linalohitaji kuondolewa haraka kwa kuwekeza kwenye viwanda.
Alisema si lazima mataifa...
9 years ago
Habarileo04 Oct
Anayenunua shahada hawezi kuona aibu kuuza haki
WANANCHI wametakiwa siku ya kupiga kura kuwa macho na watu wanaoweza kwenda kuwanunua kwa kuwagawia fedha wabadilishe msimamo wao. Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na maelfu ya watu.
11 years ago
Bongo511 Jul
Video:Diamond asema BET imempa connection nyingi, ‘ukiacha kuuza muziki kollabo ni kitu ambacho kinasaidia’
5 years ago
BBCSwahili24 Feb