India, Kenya zinauzaje Tanzanite nyingi kuliko Tanzania?
NI suala rahisi kulielewa lakini ni gumu kuliamini. Habari kuwa Kenya na India zinaizidi Tanzania katika mauzo ya vito aina ya Tanzanite nje ya nchi ni rahisi kuilielewa kwa sababu linahusisha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Ni aibu Kenya, India kuuza Tanzanite nyingi
SI jambo la kufurahia hata kidogo taarifa za Kenya na India kuizidi Tanzania katika mauzo ya vito aina ya Tanzanite nje ya nchi. Tunasema si jambo la kufurahia kwakuwa Tanzania...
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Kenya, India zaipiku Tanzania mauzo ya tanzanite
>Nchi za Kenya na India zimeipita kwa mbali Tanzania kwa kusafirisha na kuuza katika soko la dunia, madini ya tanzanite ambayo yanapatikana hapa nchini pekee.
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Kenya, India wanatuzidi mauzo ya Tanzanite?
Kama kuna jambo ambalo limewaacha wananchi wengi katika mfadhaiko mkubwa ni habari kwamba nchi za Kenya na India zimeipita Tanzania kwa mbali kwa kusafirisha na kuuza katika soko la dunia, madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana hapa nchini pekee.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Ni aibu India kuipiku Tanzania kwa uuzaji Tanzanite
Taarifa kwamba nchi za Kenya na India zimeipita kwa mbali Tanzania kwa kusafirisha madini ya Tanzanite yanayopatikana hapa nchini pekee na kuyauza katika soko la dunia ni jambo ambalo siyo rahisi kuliamini.
9 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.
![](http://in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2015/09/tanzanite.jpg)
The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
11 years ago
Michuzi24 Feb
YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...
10 years ago
Bongo514 Oct
Msanii wa Kenya aelezea kwa kirefu kwanini muziki wa Tanzania uko juu kuliko wao
Msanii wa Kenya aitwaye Shreekezy ameeleza kwa kirefu zile anazoamini ni sababu za muziki wa Tanzania kuwa juu kuliko wa kwao. Haya ni maelezo yake aliyoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook: “A time like now, a few years ago, I was a rapper trying to make a living from music. Don’t get me wrong, I […]
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Mjadala Kenya kuhusu ziara nyingi za rais
Mjadala mkali umezuka kuhusu ziara nyingi za Rais Kenyatta nje ya nchi zinazogharimu mlipa ushuru mamilioni ya pesa.
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Bei ya petroli TZ kubwa kuliko Kenya
Wakati mjadala wa bei ya mafuta ukiendelea, imebainika kuwa bei ya nishati hiyo nchini ni kubwa kulinganisha na Kenya, wakati Rwanda ikiongoza kwa kutonufaika kwa kushuka kwa petroli katika soko la dunia kati ya nchi za Afrika Mashariki.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania