Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii wa Kenya aelezea kwa kirefu kwanini muziki wa Tanzania uko juu kuliko wao

Msanii wa Kenya aitwaye Shreekezy ameeleza kwa kirefu zile anazoamini ni sababu za muziki wa Tanzania kuwa juu kuliko wa kwao. Haya ni maelezo yake aliyoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook: “A time like now, a few years ago, I was a rapper trying to make a living from music. Don’t get me wrong, I […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nahreel aelezea kwanini ameweka masharti magumu ya kujiunga na chuo chake cha muziki

Producer wa The Industry, Nahreel amesema kuwa lengo la kuanzisha chuo cha muziki ni kutaka kutengeneza watu watakaoweza kuja kuleta mapinduzi kwenye muziki wa Bongo. Hit maker huyo wa ‘Nana’ ya Diamond na ‘Game’ ya Navy Kenzo ameongeza kuwa kutokana na sababu hiyo ndio maana hachukui watu hovyo hovyo wanaohitaji kujiunga na chuo chake cha […]

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol ashangazwa na club za Kenya kutocheza muziki wa wasanii wao

Miongoni mwa vitu vilivyomshangaza The King Of R&B Bongo, Ben Pol alipokuwa Kenya hivi karibuni ni jinsi muziki wa wasanii wa Kenya usivyopewa nafasi kwenye clubs za huko. Ben Pol ambaye aliungana na wanamuziki wengine wa Afrika katika msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika jijini Nairobi, alisema kuwa alishangazwa kusikia wimbo mmoja tu […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwanini familia zimekuwa 'zikiwauwa kwa heshima' watoto wao wa kike Pakistani?

Wanaume pia hulengwa , na ndugu za wanawake ambao wanadaiwa kushiriki nao katika uhusiano wa kimapenzi.

 

9 years ago

MillardAyo

Kwanini Mr. Nice anafanya muziki kwa Nyodo? stori iko hapa….

Inawezekana kabisa haujamuona Mr Nice kumiliki zile chart za Top 20 za radio lakini hajakata tamaa ya kutafuta maisha ana mambo yake mengine anayoyafanya tofauti na muziki. Mr Nice anasema kwasasa amejihusisha kwenye miradi ya ufugaji wa kuku pamoja na kilimo, ila  kwenye headlines za muziki amesema  kwamba anaufanya kwa nyodo,..kumsikia mwenyewe na sababu zake […]

The post Kwanini Mr. Nice anafanya muziki kwa Nyodo? stori iko hapa…. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

India, Kenya zinauzaje Tanzanite nyingi kuliko Tanzania?

NI suala rahisi kulielewa lakini ni gumu kuliamini. Habari kuwa Kenya na  India zinaizidi Tanzania katika mauzo ya vito aina ya Tanzanite nje ya nchi ni rahisi kuilielewa kwa sababu linahusisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msanii Bobo Seretsane “Bo” wa Afrika kusini afagilia muziki wa Tanzania, apongeza tamasha Karibu Music!

DSC_0896

Msanii nyota wa Afrika Kusini, Bo Denim “Bo” akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la msimu wa pili la Karibu Music Festival..!

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[BAGAMOYO-TANZANIA]  Mwanamuziki  nyota kutoka Afrika Kusini  Bo Denim maarufu ‘Bo’ amewashukuru waandaji wa tamasha la Music Festival linalofanyika kila mwaka mjini hapa huku likihusisha vikundi na wanamuziki mbalimbali kutoka mataifaa tofauti ya Afrika nan je ya Afrikaa.

Bo ambaye usiku wa jana Novemba 7, aliweza kupiga shoo hiyo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

EFM kuongoza Sherehe za Miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Denis Ssebo (kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sherehe za kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya Msanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) yatakayoambatana ya sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Lydia MoyoMsanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) akizungumzia sherehe hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani