Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ben Pol ashangazwa na club za Kenya kutocheza muziki wa wasanii wao

Miongoni mwa vitu vilivyomshangaza The King Of R&B Bongo, Ben Pol alipokuwa Kenya hivi karibuni ni jinsi muziki wa wasanii wa Kenya usivyopewa nafasi kwenye clubs za huko. Ben Pol ambaye aliungana na wanamuziki wengine wa Afrika katika msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika jijini Nairobi, alisema kuwa alishangazwa kusikia wimbo mmoja tu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ben Pol, Avril na Rossie M wakiongelea wimbo wao ‘Ningefanyaje’

Ben Pol, Avril na Rossie M waliotoa wimbo wa pamoja hivi karibuni walitutembelea kwenye studio zetu kuzungumza kuhusiana na wimbo huo uitwao ‘Ningefanyaje.’ Tazama mahojiano hayo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol na Avril wa Kenya kuja na collabo!

Ben Pol na muimbaji mrembo wa Kenya, Avril huenda wakaingia ama tayari wameingia studio kurekodi ngoma ya pamoja. Wawili hao wameshare picha kwenye akaunti zao za Instagram na kuelezea kile kinachowezekana kuwa ni ujio wa collabo yao. “Throwback hanging out with the talented @iambenpol…we just might have a surprise for you. #255 #254,” ameandika Avril. […]

 

10 years ago

Vijimambo

Ben Pol, Wangechi watisha ‘Coke Studio Afrika’ Kenya

 Msanii wa kizazi kipya na mkali wa miondoko ya R&B Ben Pol akitumbuiza katika jukwaa la Coke Studio wakati wa tamasha la Coke Studio Afrika msimu wa tatu lililofanyika mwishoni mwa wiki nchini Kenya. Wasanii wengine walikuwepo katika tamasha hilo ni Wangechi (Kenya) pamoja na Silver Stone (Ghana)

 Msanii wa kizazi kipya na mkali wa miondoko ya R&B Ben Pol kutoka nchini (kulia) na Wangechi kutoka Kenya wakitumbuiza katika jukwaa la Coke Studio wakati wa tamasha la Coke Studio Afrika msimu wa...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol: Nafikiria kuzindua video ya ‘Ningefanyaje’ Bongo au Kenya

Ben SA-1

Baada ya Ben Pol kukamilisha zoezi la kushoot video ya wimbo wake ‘Ningefanyaje’ nchini Afrika Kusini, kitu kinachosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake kwa sasa ni kuiona video hiyo.

Ben SA-1

Hit maker wa ‘Sophia’ ambaye amerejea nchini jana (Nov.11) ameiambia Bongo5 kuwa amepanga kuitoa video hiyo mwezi ujao (Dec) lakini bado hajawa na uhakika wa asilimia 100 kutokana na mipango mingine anayoifikiria.

“Kusema kweli mimi naikimbiza itoke mwaka huu kwasababu mwakani nina project zingine inabidi na...

 

9 years ago

Global Publishers

Ben Pol aanza mwaka na Ben Pol

benpol2Ben Pol.

Khadija Mngwai, Dar es Salaam
MWANAMUZIKI wa muziki wa Kizazi kipya ‘Bongo Fleva, Benard Paul (Ben Pol) amefunguka kwa kusema kuwa anauanza mwaka wa 2016 kwa kutoa albamu yake iliyobeba nyimbo 13, mwanzoni mwa mwezi wa pili.

Akizungumza na Championi Jumatano, Pol amesema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakiuchukulia muziki huo ni wa kawaida tu kwa kuhitaji kujiingizia kipato na siyo kuwa ‘serious’ na matokeo yake wanaishia kutoa nyimbo moja au mbili ili kupata shoo.

BEN-POL-1“Nimejipanga kuweka...

 

9 years ago

GPL

BEN POL ANACHUMBA CHA SIRI CHA KUSIKILIZA MUZIKI!

Ben Pol katika pozi kwenye studio za Global TV Online leo. Ben Pol akiwa ametulia na Mtangazaji wa Global TV Online, Shorvieny Mohammed.   Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Gabriel Ng'osha akipozi na Ben Pol. Mwandishi wa Hadithi na Mikasa wa GPL, Nyemo…

 

10 years ago

Vijimambo

Vijana watano kutoka Tanzania watumbuiza na Ben Pol jukwaa la 'Coke Studio Afrika' Kenya

Ben Pol kutoka Tanzania (wa pili kushoto), Wangechi kutoka Kenya (wa tano kushoto) na Silva Stone kutoka Ghana (wa pili kulia) wakiwa pamoja na vijana kutoka Tanzania waliokwenda kushuhudia tamasha la Coke Studio Afrika nchini Kenya baada ya kushinda kupitia shindano lililoedeshwa kupitia akaunti ya instagramu ya Millard Ayo.
Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya.Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika  kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani