Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BEN POL ANACHUMBA CHA SIRI CHA KUSIKILIZA MUZIKI!

Ben Pol katika pozi kwenye studio za Global TV Online leo. Ben Pol akiwa ametulia na Mtangazaji wa Global TV Online, Shorvieny Mohammed.   Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Gabriel Ng'osha akipozi na Ben Pol. Mwandishi wa Hadithi na Mikasa wa GPL, Nyemo…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

New Song: D triple Ft Ben Pol — Kiburi cha Mchele

D triple ni msanii Mpya aliye mshirikisha Ben Pol ngoma inaitwa “Kiburi cha Mchele” Producer Maneck

 

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol ataja sababu 3 za kuachia wimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi

Wakati wasanii wengi wakiogopa kuachia nyimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kuhofia kutopata muda wa kusikilizwa, Ben Pol ameeleza sababu zilizomfanya kutohofia kufanya hivyo. Ben Pol aliyeachia wimbo ‘Ningefanyaje’ aliowashirikisha msanii wa Kenya, Avril na Rossie M ametaja sababu tatu za kuachia wimbo huo. “Moja sina wimbo official tangia mwaka umeanza,” amesema Ben. […]

 

10 years ago

Bongo5

Ben Pol adai mapokezi ya Sophia yamemtisha kiasi cha kuifumua idea ya mwanzo ya video

Ben Pol amedai kuwa mapokezi ya wimbo wake mpya Sophia yamekuwa makubwa kuzidi matarajio yake kiasi kwamba amelazimika kurudi kwenye ‘drawing board’ kupanga upya jinsi atakavyotakiwa kuifanya video yake. Amedai kuwa awali alikuwa amepanga kuanza na video ya wimbo huo, mpango ambao uliahirishwa kwa mara mbili. “Lakini plan yetu tulivyokuwa tumeitengeneza kiasi kwamba huwezi amini […]

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol ashangazwa na club za Kenya kutocheza muziki wa wasanii wao

Miongoni mwa vitu vilivyomshangaza The King Of R&B Bongo, Ben Pol alipokuwa Kenya hivi karibuni ni jinsi muziki wa wasanii wa Kenya usivyopewa nafasi kwenye clubs za huko. Ben Pol ambaye aliungana na wanamuziki wengine wa Afrika katika msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika jijini Nairobi, alisema kuwa alishangazwa kusikia wimbo mmoja tu […]

 

9 years ago

Global Publishers

Ben Pol aanza mwaka na Ben Pol

benpol2Ben Pol.

Khadija Mngwai, Dar es Salaam
MWANAMUZIKI wa muziki wa Kizazi kipya ‘Bongo Fleva, Benard Paul (Ben Pol) amefunguka kwa kusema kuwa anauanza mwaka wa 2016 kwa kutoa albamu yake iliyobeba nyimbo 13, mwanzoni mwa mwezi wa pili.

Akizungumza na Championi Jumatano, Pol amesema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakiuchukulia muziki huo ni wa kawaida tu kwa kuhitaji kujiingizia kipato na siyo kuwa ‘serious’ na matokeo yake wanaishia kutoa nyimbo moja au mbili ili kupata shoo.

BEN-POL-1“Nimejipanga kuweka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani