Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…
Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.
Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.
Ben Pol na Patoranking
Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Nov
Ben Pol aenda Afrika Kusini kushoot video na Justin Campos
![Ben na Campos2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ben-na-Campos2-300x194.jpg)
Ben Pol ameongezeka kwenye orodha (inayozidi kuwa ndefu) ya wasanii wa Tanzania wenye mipango au walioishaenda Afrika Kusini kushoot video zao za muziki.
Ben Pol akiwa na Justin Campos na timu yake na Rossie M Afrika Kusini
King wa RnB ameamua kufunga safari kwenda Johannesburg kwaajili ya kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Ningefanyaje’ aliowashirikisha Avril wa Kenya na msanii mpya Rossie M, ambayo amechagua kufanya na director Justin Campos wa Gorilla Films.
Kwanini kamchagua Justin Campos...
9 years ago
Bongo509 Nov
BTS za utengenezaji wa video tofauti za Ben Pol na Mwana FA Afrika Kusini (Picha)
![11925676_463374680501587_1567968702_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11925676_463374680501587_1567968702_n-300x194.jpg)
Ben Pol na Mwana FA wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kushoot video zao.
Ben Pol akiwa kwenye moja ya scene za video yake
Ben ameendelea kushoot video ya wimbo wake ‘Ningefanyaje’ aliowashiriki Avril na Rossie M.
Ben Pol na Rossie M wakiwa location huku Justin Campos akiendelea na kazi yake
Muimbaji huyo amemaliza kufanya video hiyo Jumapili hii akimtumia muongozaji wa nchini humo, Justin Campos wa Gorilla Films. Avril wa Kenya hakuonekana kwenye location hizo.
Timu nzima...
9 years ago
Bongo510 Oct
Ben Pol kuelekea Afrika Kusini kufanya video ya ‘Ningefanyaje’ na Justin Campos
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Ben Pol aanza mwaka na Ben Pol
Ben Pol.
Khadija Mngwai, Dar es Salaam
MWANAMUZIKI wa muziki wa Kizazi kipya ‘Bongo Fleva, Benard Paul (Ben Pol) amefunguka kwa kusema kuwa anauanza mwaka wa 2016 kwa kutoa albamu yake iliyobeba nyimbo 13, mwanzoni mwa mwezi wa pili.
Akizungumza na Championi Jumatano, Pol amesema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakiuchukulia muziki huo ni wa kawaida tu kwa kuhitaji kujiingizia kipato na siyo kuwa ‘serious’ na matokeo yake wanaishia kutoa nyimbo moja au mbili ili kupata shoo.
“Nimejipanga kuweka...
9 years ago
Bongo528 Nov
Music: LastBorn Ft Ben Pol – Nipe Majibu
![Last Born](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Last-Born-300x194.png)
Msanii Mpya rapper anaitwa LastBorn ameachia wimbo mpya unaitwa “Nipe Majibu”. Studio Classic Sound
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
VijimamboBen Pol, Wangechi watisha ‘Coke Studio Afrika’ Kenya
10 years ago
VijimamboVijana watano kutoka Tanzania watumbuiza na Ben Pol jukwaa la 'Coke Studio Afrika' Kenya
Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya.Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika kila...
10 years ago
Bongo515 Jan
New Music: Ben Pol — Sophia
10 years ago
Bongo525 Aug
New Music: Ben Pol — Twaendana