EFM kuongoza Sherehe za Miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature
![](http://3.bp.blogspot.com/-NCgCraIBOQU/VUutED9AZQI/AAAAAAAHWNc/ly010DrcIhM/s72-c/DSCF2245.jpg)
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Denis Ssebo (kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sherehe za kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya Msanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) yatakayoambatana ya sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Lydia Moyo
Msanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) akizungumzia sherehe hizo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLEFM KUPAMBA MIAKA 16 YA JUMA NATURE KWENYE MUZIKI
10 years ago
Dewji Blog08 May
Kituo cha redio cha Efm chamkumbuka mwanamuziki Juma Nature kwa mchango wake katika muziki nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-yMTInvMETOk/VUw59V-lecI/AAAAAAAAQCE/vm-0zsAz7sw/s640/DU7C5232.jpg)
Mkuu wa Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha lijulikalo kama Komaa Concert litalofanyika mwishoni mwa mwezi mei kwa ajili ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya msanii Juma Nature ‘maarufu Kiroboto’ namna ya kuonesha kuthamini mchango wake katika muziki wa bongo fleva na kuwakumbusha watanzania juu ya safari ya muziki wa Tanzania kwa ujumla. Kulia ni mwanamuziki huyo, Juma Nature...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UouCQxpjPt4/VWLkGCizu0I/AAAAAAAHZk8/PKNmc_Vuqv4/s72-c/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
NEWS ALERT: KOMAA CONCERT kuadhimisha miaka 16 ya kukwika kwa msanii JUMA NATURE kufanyika Mei 30, 2015 Dar Live
11 years ago
Mwananchi03 Aug
JUMA NATURE: Nyota wa muziki aliyejisomesha kwa kuokota, kuuza vyuma chakavu na vitumbua
10 years ago
Mtanzania12 May
Juma Nature kujivunia miaka 16 ya mafanikio yake
NA HADIA KHAMIS
MSANII mwenye jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Kassim Kiroboto ‘Juma Nature’, anatarajia kusherehekea miaka 16 ya mafanikio yake hivi karibuni.
Mafanikio hayo atayafurahia katika tamasha la Komaa Concert ambapo watashirikiana na kituo cha Redio cha EFM kinachosherehekea mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa kituo hicho, Dennis Sebbo, alisema tamasha hilo litafanyika katika Manispaa ya Temeke ikiwa ni heshima ya msanii huyo kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/kTn2_3SVmbA/default.jpg)
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.
Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXWzP338fnCxgU9Mx1GEWDHP*lauk0wcaQkONQ4Ovw-w7-bcut2tmMhVu0Shl3T6JPssqgElUC1yOvnIkSbWUfho/1.jpg)
SHOO YA MIAKA 16 YA NATURE KATIKA MUZIKI LATIA FORA DAR LIVE
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Shetta aingia kwa ubabe shoo ya Juma Nature
NA RHOBI CHACHA
AKIWA na wapambe 15 msanii wa Bongo Fleva, Nurdin Bilali ‘Shetta’, alilazimika kutumia nguvu za ziada ili kuingia na wapambe wake hao katika shoo ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Shetta ilimlazimu kufanya uamuzi huo baada ya njia yake ya kutishia kususia kufanya onyesho lake katika onyesho hilo kupuuzwa huku akikataliwa kuingia na idadi hiyo kubwa ya wapambe wake badala yake...