Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Juma Nature kujivunia miaka 16 ya mafanikio yake

JUMANA HADIA KHAMIS
MSANII mwenye jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Kassim Kiroboto ‘Juma Nature’, anatarajia kusherehekea miaka 16 ya mafanikio yake hivi karibuni.
Mafanikio hayo atayafurahia katika tamasha la Komaa Concert ambapo watashirikiana na kituo cha Redio cha EFM kinachosherehekea mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa kituo hicho, Dennis Sebbo, alisema tamasha hilo litafanyika katika Manispaa ya Temeke ikiwa ni heshima ya msanii huyo kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MIAKA 53 ZA MAFANIKIO YA KUJIVUNIA

Muhtasari Wa Miaka 53 Ya Mafanikio Ya Kujivunia by Evarist Chahali  MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE 2005/2006 HADI 2014/2015 (Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne kuanzia 2005/2006 hadi 2014/2015from Evarist Chahali

 

10 years ago

GPL

EFM KUPAMBA MIAKA 16 YA JUMA NATURE KWENYE MUZIKI

Mkurugenzi wa Mahusiano wa Redio  Efm, Dennis Sebbo akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). Msanii wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature akifuatilia maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Afisa Uhusiano wa Redio Efm, Lydia Moyo akifuatilia jambo kwa umakini.…

 

10 years ago

Michuzi

EFM kuongoza Sherehe za Miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Denis Ssebo (kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sherehe za kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya Msanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) yatakayoambatana ya sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Lydia MoyoMsanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) akizungumzia sherehe hizo.

 

10 years ago

CloudsFM

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: KOMAA CONCERT kuadhimisha miaka 16 ya kukwika kwa msanii JUMA NATURE kufanyika Mei 30, 2015 Dar Live

Tamasha kubwa la kuadhimisha miaka kumi na sita ya msanii JUMA NATURE maarufu kama Kiroboto pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za 93.7 EFM linalofahamika kama KOMAA CONCERT kwa mara ya kwanza litafanyika rasmi jumamosi hii ya tarehe 30 mwezi mei katika ukumbi wa Dar Alive –Mbagala, kuanzia saa kumi na mbili jioni.  Tamasha hili limeandaliwa na Juma nature akishirikiana na EFM kwa lengo la kuwaburudisha Mashabiki wa juma nature na wasikiliazaji wa 93.7 EFM ikiwa ni sehemu ya...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA UJENZI YAELEZEA MAFANIKIO YAKE KWA KIPINDI CHA MIAKA 10

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi, Segolena Francis (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akimkaribisha  Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), kuzungumza na waandishi wa habari  kuhusu mafanikio ya serikali katika sekta ya ujenzi kwa kipindi cha  miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.

Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), akizungumza katika mkutano na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ujenzi yaeleza mafanikio yake kwa kipindi cha miaka 10

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi, Segolena Francis (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akimkaribisha  Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), kuzungumza na waandishi wa habari  kuhusu mafanikio ya serikali katika sekta ya ujenzi kwa kipindi cha  miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.

 

Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), akizungumza katika mkutano na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani