Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIAKA 53 ZA MAFANIKIO YA KUJIVUNIA

Muhtasari Wa Miaka 53 Ya Mafanikio Ya Kujivunia by Evarist Chahali  MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE 2005/2006 HADI 2014/2015 (Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne kuanzia 2005/2006 hadi 2014/2015from Evarist Chahali

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Juma Nature kujivunia miaka 16 ya mafanikio yake

JUMANA HADIA KHAMIS
MSANII mwenye jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Kassim Kiroboto ‘Juma Nature’, anatarajia kusherehekea miaka 16 ya mafanikio yake hivi karibuni.
Mafanikio hayo atayafurahia katika tamasha la Komaa Concert ambapo watashirikiana na kituo cha Redio cha EFM kinachosherehekea mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa kituo hicho, Dennis Sebbo, alisema tamasha hilo litafanyika katika Manispaa ya Temeke ikiwa ni heshima ya msanii huyo kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 37 ya CCM; Nape: Tunayo mengi ya kujivunia

>Leo ikiwa ni miaka 37 tangu kuzaliwa, na miaka 22 ndani ya mfumo wa vyama vingi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimebeba kila aina ya matusi, kashfa, kejeli na tuhuma kutokana na changamoto mbalimbali zinazokikabili katika uendeshaji wa Serikali na hali ya maisha ya Watanzania.

 

10 years ago

Habarileo

JK ajivunia miaka 10 ya mafanikio

Rais Jakaya Kikwete akitoa mhadhara katika kituo cha Kimataifa cha Woodrow Wilson jijini Washington DC. (Picha na Ikulu).SERIKALI ya awamu ya nne inajivunia mafanikio iliyoyapata tangu kuingia madarakani mwaka 2005 na kuweka msingi imara wa nchi katika kutekeleza Mkakati wa Maendeleo wa Mwaka 2025 ambao unalenga kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BoT na mafanikio ya miaka 50 ya Muungano

“BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) ilianzishwa mwaka 1966 kwa sheria iliyopitishwa na Bunge la Tanzania mwaka 1965 na kupewa uwezo wa kutekeleza majukumu yake ya msingi.” Hivyo ndivyo anavyoanza kuzungumza...

 

9 years ago

StarTV

JWTZ laeleza mafanikio ya miaka 30

Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limeelezea mafanikio yake ya miaka 30 ya uzalishaji wa teknolojia mbalimbali katika Kambi ya Nyumbu mkoani Pwani.

Kambi hiyo ilianzishwa mwaka 1985 kwa ajili ya kufanya utafiti na kuendeleza uvumbuzi na ubunifu wa teknolijia ili kuongeza uwezo wa Tanzania kujitegemea.

 

Akizungumza na waandishi wa habari katika Kambi ya Nyumbu, Mkurugenzi wa Shirika la Nyumbu, Brigedia Jenerali Anselm Shigongo, amesema teknolojia wanazozalisha zinasaidia kuinua maendeleo ya...

 

9 years ago

GPL

NMB YAJIVUNIA MIAKA 10 YA MAFANIKIO

Mkurugenzi wa NMB - Ineke Bussemaker (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum) jijini Dar es Salaam jana kuhusu maadhimisho ya miaka 10 ya benki hiyo tangu ilipobinafsishwa na hatua ilizopiga katika maendeleo ya benki. Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (katikati) jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DCB yajivunia miaka 12 ya mafanikio

WAKATI ikianza wengi walidhani haitafika mbali kutokana na kumilikiwa na wananchi. Dhati waliyoiweka katika mioyo yao na kuongozwa na viongozi waliohakikisha inanyanyuka na kutoa faida ndio imeifanya Benki ya Wananchi...

 

10 years ago

Mwananchi

JK avunja Bunge, ataja mafanikio ya miaka 10

>Rais Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge la 10 kwa mara ya mwisho, akijikita katika takwimu zinazoonyesha mafanikio ambayo Serikali ya Awamu ya Nne imeyapata tangu alipoingia Ikulu mwaka 2005, lakini akakiri kutofanikiwa kulifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani