NMB YAJIVUNIA MIAKA 10 YA MAFANIKIO
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/nmb-1.jpg)
Mkurugenzi wa NMB - Ineke Bussemaker (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum) jijini Dar es Salaam jana kuhusu maadhimisho ya miaka 10 ya benki hiyo tangu ilipobinafsishwa na hatua ilizopiga katika maendeleo ya benki. Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (katikati) jijini Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
DCB yajivunia miaka 12 ya mafanikio
WAKATI ikianza wengi walidhani haitafika mbali kutokana na kumilikiwa na wananchi. Dhati waliyoiweka katika mioyo yao na kuongozwa na viongozi waliohakikisha inanyanyuka na kutoa faida ndio imeifanya Benki ya Wananchi...
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
LAPF yajivunia mafanikio
MFUKO wa Pensheni wa LAPF umesema unajivunia mafaniko ya kuwa mfuko bora kuliko mingine katika kutoa huduma tangu ulipozaliwa mwaka 1944. Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
TPA yajivunia mafanikio kiutendaji
LICHA ya kuwa na changamoto mbalimbali katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) lakini pia kuna mafanikio ya ongezeko la shehena. Ongezeko hilo linatokana na kukua kwa uchumi katika nchi...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
NHIF yajivunia mafanikio lukukiÂ
HIVI karibuni Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) uliendesha semina ya siku moja kwa waandishi wa habari kwa lengo la kutoa elimu ya bima ya afya kwa wanahabari....
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
Azam yajivunia mafanikio Congo
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Wizara ya Fedha yajivunia mafanikio BRN
MATOKEO Makubwa Sasa (BRN) ni mfumo unaotumiwa na serikali katika kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa baadhi ya majukumu yake yenye lengo la kupata matokeo chanya kwa muda mfupi. Mfumo huo...
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
WAMA yajivunia mafanikio katika sekta ya elimu
Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.
Taasisi ya WAMA Foundation imefanikiwa kupanua fursa za elimu kwa mtoto wa kike kwa mwaka 2014.
Hayo yamesemwa na Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete wakati Akiongea na wenza wa mabalozi kutoka nchi mbalimbali katika ghafla fupi ya kuukaribisha mwaka mpya 2015 iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam,
Mama Salma alisema kuwa baadhi ya mafanikio yaliyofikiwa na Taasisi ya WAMA ni kukamilika...
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Wizara yajivunia mafanikio huduma za afya nchini
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imejivunia mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika kipindi cha serikali ya awamu ya nne katika kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini.
Mafanikio hayo ni pamoja na kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito na watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano, kushuka kiwango cha maambukizi ya malaria na kudhibiti maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi (VVU).
Akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa waganga wakuu wa wilaya...