Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: KOMAA CONCERT kuadhimisha miaka 16 ya kukwika kwa msanii JUMA NATURE kufanyika Mei 30, 2015 Dar Live

Tamasha kubwa la kuadhimisha miaka kumi na sita ya msanii JUMA NATURE maarufu kama Kiroboto pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za 93.7 EFM linalofahamika kama KOMAA CONCERT kwa mara ya kwanza litafanyika rasmi jumamosi hii ya tarehe 30 mwezi mei katika ukumbi wa Dar Alive –Mbagala, kuanzia saa kumi na mbili jioni.  Tamasha hili limeandaliwa na Juma nature akishirikiana na EFM kwa lengo la kuwaburudisha Mashabiki wa juma nature na wasikiliazaji wa 93.7 EFM ikiwa ni sehemu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KOMAA CONCERT KUFUNIKA DAR LIVE MEI 30

Meneja mawasiliano na mambo ya sheria wa E-fm Denis Ssebo, akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani).
TAMASHA kubwa la kuadhimisha miaka kumi na sita ya msanii JUMA NATURE maarufu kama Kiroboto pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za 93.7 EFM linalofahamika kama KOMAA CONCERT kwa mara ya kwanza litafanyika rasmi Jumamosi hii ya tarehe 30 mwezi Mei katika ukumbi wa Dar Live-Mbagala, kuanzia saa 12 jioni. Staa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Juma Nature na wenzake kuiteka Dar katika tamasha la “Komaa” litakalofanyika jumamosi ukumbi wa Dar Live Mbagala

Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini  pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo,...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMA NATURE NA WENZAKE KUITEKA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA LA KOMAA LITAKALOFANYIKA JUMAMOSI UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA

Msanii Juma Nature 'Kiroboto' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini  pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo, ambao...

 

10 years ago

Michuzi

EFM kuongoza Sherehe za Miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Denis Ssebo (kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sherehe za kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya Msanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) yatakayoambatana ya sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Lydia MoyoMsanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) akizungumzia sherehe hizo.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani