Juma Nature na wenzake kuiteka Dar katika tamasha la “Komaa” litakalofanyika jumamosi ukumbi wa Dar Live Mbagala
Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJUMA NATURE NA WENZAKE KUITEKA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA LA KOMAA LITAKALOFANYIKA JUMAMOSI UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA
10 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: KOMAA CONCERT kuadhimisha miaka 16 ya kukwika kwa msanii JUMA NATURE kufanyika Mei 30, 2015 Dar Live
Tamasha kubwa la kuadhimisha miaka kumi na sita ya msanii JUMA NATURE maarufu kama Kiroboto pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za 93.7 EFM linalofahamika kama KOMAA CONCERT kwa mara ya kwanza litafanyika rasmi jumamosi hii ya tarehe 30 mwezi mei katika ukumbi wa Dar Alive –Mbagala, kuanzia saa kumi na mbili jioni. Tamasha hili limeandaliwa na Juma nature akishirikiana na EFM kwa lengo la kuwaburudisha Mashabiki wa juma nature na wasikiliazaji wa 93.7 EFM ikiwa ni sehemu ya...
10 years ago
GPL20 Jul
11 years ago
MichuziPPF YAANDIKISHA WANACHAMA WAPYA KATIKA TAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA LINALOENDELEA KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE
10 years ago
Vijimambo
TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR

10 years ago
GPLJUMA NATURE AFUNIKA IDD MOSI DAR LIVE
Mfalme wa Hip Hop na Juma Kassim ‘Nature’ akingusha bonge la shoo Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar usiku huu. (PICHA: RICHARD…
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPLMSHINDO WA HIP HOP-TAARAB DAR LIVE IDD MOSI, HAPA MADEE, PALE JUMA NATURE
Rais wa Manzese ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’. Mwandishi Wetu
Dar es SalaamI
MESALIA wiki moja na siku kadhaa kufikia Sikukuu ya Idd Mosi ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kutafuka moshi wa burudani kwa mastaa kibao wa muziki wa Hip Hop na Taarab kutumbuiza. Mkali wa Bongo Fleva, Juma Kasim ‘Juma Nature’. Akizungumza na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania