TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-C22b0WyJGls/VWvwDXblW0I/AAAAAAAC5UA/rqxM68AOuFg/s72-c/1.jpg)
Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha cha Dar Live,Mbagala jijini Dar mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki na wapenzi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jWPVQw2fqZw/VUhxZiCHjII/AAAAAAAHVbE/HYIBgjS3J2c/s72-c/unnamed1.jpg)
Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-jWPVQw2fqZw/VUhxZiCHjII/AAAAAAAHVbE/HYIBgjS3J2c/s640/unnamed1.jpg)
Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa.
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi.
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_Athr67eHfg/VmvvpjexGII/AAAAAAAAwKc/5yMiL3Osw00/s72-c/DSCF0411.jpg)
Dj Bonny Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul kiota cha maraha cha Raphsody ndani ya Jengo la Viva Towers jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-_Athr67eHfg/VmvvpjexGII/AAAAAAAAwKc/5yMiL3Osw00/s640/DSCF0411.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uhksZO6w7jU/VmvvrLs8z7I/AAAAAAAAwKs/Eu-a_IZZidA/s640/DSCF0431.jpg)
9 years ago
Michuzi26 Dec
KIOTA CHA MARAHA CHA CITY SPORTS LOUNGE CHAZINDULIWA UPYA JIJINI DAR ES SALAAM
![jo1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/jo1.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-yj6Qxguti4g/VbJt5wOuV4I/AAAAAAAAfhg/ka-no6cbekQ/s72-c/Dance.jpg)
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-yj6Qxguti4g/VbJt5wOuV4I/AAAAAAAAfhg/ka-no6cbekQ/s640/Dance.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-29LSQmTCdDI/VbJp8Ex5wfI/AAAAAAAAfg8/IlmJES_BX0A/s640/Shampaign.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-TtTtS5aum5M/VbJp_B5hi7I/AAAAAAAAfhU/YcJyRMVgnh4/s640/Mmiliki%2Bna%2BMeneja%2Bwake.jpg)
10 years ago
Michuziintroducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Tujumuike Pamoja leo kucheza wimbo mpya wa Skylight Band “Pasua Twende” kiota cha maraha Thai Village jijini Dar
Na hii ndio Video ya Skylight Band ya Wimbo mpya “PASUA TWENDE”
Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera Ijumaa iliypoita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
Vijana wa Skylight Band wakijimwaga na sebene, kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi.
Sio kwamba wanaanguka la hasha ni mbewembwe za Majembe ya Skylight Band katika kutoa burudani kwa mashabiki wao.
10 years ago
GPLKOMAA CONCERT KUFUNIKA DAR LIVE MEI 30
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2MaqbiXGv9tB0qSA0GjqPyspelOZkYgc*eshyahwMTWchhl7tkjcQFUdIFcdcXXblzmDhX82m6OgeZn5SKxL-gfg08C/TANO.jpg?width=750)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10