introducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam
Mandhari ya kiota kipya cha kisasa cha kilaji kiitwacho Break Point Carnivore jijini Dar es salaam kilichofunguliwa rasmi jana Ijumaa na kuvutia wadau wengi wa mighawa ya Break Point za mjini na Kijitonyama ambapo mambo yote yanayopatikana huko kama vile "jirambe", "mchemsho", "foil meat" na kadhalika. Msemaji wa kiota hicho Kaka Daudi anasema Break Point imeamua kuondokana na staili ya "Msonge" na kuja na kiota chenye mandhari tofauti kabisa lakini huduma zile zile na zaidi kama vile...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-yj6Qxguti4g/VbJt5wOuV4I/AAAAAAAAfhg/ka-no6cbekQ/s72-c/Dance.jpg)
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-yj6Qxguti4g/VbJt5wOuV4I/AAAAAAAAfhg/ka-no6cbekQ/s640/Dance.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-29LSQmTCdDI/VbJp8Ex5wfI/AAAAAAAAfg8/IlmJES_BX0A/s640/Shampaign.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-TtTtS5aum5M/VbJp_B5hi7I/AAAAAAAAfhU/YcJyRMVgnh4/s640/Mmiliki%2Bna%2BMeneja%2Bwake.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jWPVQw2fqZw/VUhxZiCHjII/AAAAAAAHVbE/HYIBgjS3J2c/s72-c/unnamed1.jpg)
Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-jWPVQw2fqZw/VUhxZiCHjII/AAAAAAAHVbE/HYIBgjS3J2c/s640/unnamed1.jpg)
Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa.
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi.
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...
9 years ago
Michuzi26 Dec
KIOTA CHA MARAHA CHA CITY SPORTS LOUNGE CHAZINDULIWA UPYA JIJINI DAR ES SALAAM
![jo1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/jo1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2BKxzNj8DBE/U6BLgHhptFI/AAAAAAAFrRk/zxNNm_QJTKo/s72-c/unnamed+(56).jpg)
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI
![](http://1.bp.blogspot.com/-2BKxzNj8DBE/U6BLgHhptFI/AAAAAAAFrRk/zxNNm_QJTKo/s1600/unnamed+(56).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-C22b0WyJGls/VWvwDXblW0I/AAAAAAAC5UA/rqxM68AOuFg/s72-c/1.jpg)
TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-C22b0WyJGls/VWvwDXblW0I/AAAAAAAC5UA/rqxM68AOuFg/s640/1.jpg)
10 years ago
Michuzi21 Dec
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/38.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FZxXckcwoMY/VDvIKkZSoYI/AAAAAAADFbg/kgqOsIDvjnE/s72-c/IMG-20141013-WA001.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_Athr67eHfg/VmvvpjexGII/AAAAAAAAwKc/5yMiL3Osw00/s72-c/DSCF0411.jpg)
Dj Bonny Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul kiota cha maraha cha Raphsody ndani ya Jengo la Viva Towers jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-_Athr67eHfg/VmvvpjexGII/AAAAAAAAwKc/5yMiL3Osw00/s640/DSCF0411.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uhksZO6w7jU/VmvvrLs8z7I/AAAAAAAAwKs/Eu-a_IZZidA/s640/DSCF0431.jpg)