KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS
Kiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kinatarajiwa kuzinduliwa mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa kiko maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia panda ya Mahitamita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, siku ya mkesha wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa na na kiko katika hatua za mwisho mwisho kukamilisha kila kitu ili kuwapa burudani wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa kisasa kama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi21 Dec
UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS

10 years ago
Vijimambo
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM



10 years ago
Michuziintroducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam
11 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam

Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa.
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi.
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...
11 years ago
Michuzi.jpg)
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI
.jpg)
10 years ago
Michuzi
PATA WASAA WA KUTEMBELEA KIOTA CHA MARAHA CHA Posto Bella

11 years ago
Michuzi