Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


menu ya mkia wa jogoo katika kiota cha maraha cha mercury, zenji


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Dj Bonny Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul kiota cha maraha cha Raphsody ndani ya Jengo la Viva Towers jijini Dar

Mkali wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa Kilaji ya Heineken.Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na...

 

10 years ago

Michuzi

PATA WASAA WA KUTEMBELEA KIOTA CHA MARAHA CHA Posto Bella

 Ukiwa ndani ya kiota hiki ni kama uko nje ya jiji la Dar es salaam. Yaani unasahau kabisa kama kuna kelele za watu na magari duniani. Ni sauti za ndege wazuri wa angani tuu ndio zinaburudisha masikio na macho … kelele na honi za boda boda na magari hazikuhusu kabisa. Mandhari yake ni kama uko mkoa Fulani wenye baridi kali na mvua nyingi, umaridadi wa garden yake utakufanya ujione kama uko mkoa kama Mbeya ama Iringa vile! Ni kijani tupu… unaweza tamani uvue viatu na ukae chini badala ya...

 

10 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS

3Kiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kinatarajiwa kuzinduliwa mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa kiko maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia panda ya Mahitamita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, siku ya mkesha wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa na na kiko katika hatua za mwisho mwisho kukamilisha kila kitu ili kuwapa burudani wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa kisasa kama...

 

9 years ago

Michuzi

KIOTA CHA MARAHA CHA CITY SPORTS LOUNGE CHAZINDULIWA UPYA JIJINI DAR ES SALAAM

jo1Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concept na Gazeti la Jambo leo Bw. Juma Pinto akiwa katika picha ya pamoja na DJ John Peter Pantalakis kushoto na DJ Masoud Masoud kwenye uzinduzi wa kiwanja cha City Sports Lounge Posta jirani na Askari Monument jijini Dar es salaam maarufu kwa kuonyesha mipira ya ligi mbalimabli za Duniani kote. Uuzinduzi huo umefanyika alhamis wiki hii na kuhudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali. uzinduzi huo umefanyika kufuatia ukarabati na uboreshaji wa mambo mbalimbali...

 

10 years ago

Vijimambo

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM

Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani.  Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)  akifungua   Champaign wakati wa uzinduzi wa kiota hicho.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali ambao walikunywa na kucheza mpaka majogoo.Hiyo ndiyo habari ya Mujini.

Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)huku meneja wake ni Nick...

 

10 years ago

Michuzi

introducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam

 Mandhari ya kiota kipya cha kisasa cha kilaji kiitwacho Break Point Carnivore jijini Dar es salaam  kilichofunguliwa rasmi jana Ijumaa na kuvutia wadau wengi wa mighawa ya Break Point za mjini na Kijitonyama ambapo mambo yote yanayopatikana huko kama vile "jirambe", "mchemsho", "foil meat" na kadhalika. Msemaji wa kiota hicho Kaka Daudi anasema Break Point imeamua kuondokana na staili ya "Msonge" na kuja na kiota chenye mandhari tofauti kabisa lakini huduma zile zile na zaidi kama vile...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa  KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha cha Dar Live,Mbagala jijini Dar mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki na wapenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani