Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIOTA CHA MARAHA CHA CITY SPORTS LOUNGE CHAZINDULIWA UPYA JIJINI DAR ES SALAAM

jo1Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concept na Gazeti la Jambo leo Bw. Juma Pinto akiwa katika picha ya pamoja na DJ John Peter Pantalakis kushoto na DJ Masoud Masoud kwenye uzinduzi wa kiwanja cha City Sports Lounge Posta jirani na Askari Monument jijini Dar es salaam maarufu kwa kuonyesha mipira ya ligi mbalimabli za Duniani kote. Uuzinduzi huo umefanyika alhamis wiki hii na kuhudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali. uzinduzi huo umefanyika kufuatia ukarabati na uboreshaji wa mambo mbalimbali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM

Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani.  Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)  akifungua   Champaign wakati wa uzinduzi wa kiota hicho.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali ambao walikunywa na kucheza mpaka majogoo.Hiyo ndiyo habari ya Mujini.

Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)huku meneja wake ni Nick...

 

10 years ago

Michuzi

introducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam

 Mandhari ya kiota kipya cha kisasa cha kilaji kiitwacho Break Point Carnivore jijini Dar es salaam  kilichofunguliwa rasmi jana Ijumaa na kuvutia wadau wengi wa mighawa ya Break Point za mjini na Kijitonyama ambapo mambo yote yanayopatikana huko kama vile "jirambe", "mchemsho", "foil meat" na kadhalika. Msemaji wa kiota hicho Kaka Daudi anasema Break Point imeamua kuondokana na staili ya "Msonge" na kuja na kiota chenye mandhari tofauti kabisa lakini huduma zile zile na zaidi kama vile...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kiwanja cha City Sports Lounge Posta chazinduliwa

jo1

Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts na Gazeti la Jambo leo Bw. Juma Pinto akiwa katika picha ya pamoja na DJ John Peter Pantalakis kushoto na DJ Masoud Masoud kwenye uzinduzi wa kiwanja cha City Sports Lounge Posta maarufu kwa kuonyesha mipira ya ligi mbalimabli za ulaya, uzinduzi huo umefanyika alhamis wiki hii na kuhudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali. uzinduzi huo umefanyika kufuatia ukarabati na uboreshaji wa mambo mbalimbali katika klabu hiyo yaliyofanyika kwa muda wa mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam

Posto Bella Resort, Kiota Kipya cha maraha pande za  ya Bunju jijini  Dar es salaam.

Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa. 
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi. 
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa  KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha cha Dar Live,Mbagala jijini Dar mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki na wapenzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Dj Bonny Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul kiota cha maraha cha Raphsody ndani ya Jengo la Viva Towers jijini Dar

Mkali wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa Kilaji ya Heineken.Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tujumuike Pamoja leo kucheza wimbo mpya wa Skylight Band “Pasua Twende” kiota cha maraha Thai Village jijini Dar

Na hii ndio Video ya Skylight Band ya Wimbo mpya “PASUA TWENDE”

DSC_0078

Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera Ijumaa iliypoita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0099

Vijana wa Skylight Band wakijimwaga na sebene, kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi.

DSC_0102

Sio kwamba wanaanguka la hasha ni mbewembwe za Majembe ya Skylight Band katika kutoa burudani kwa mashabiki wao.

DSC_0118

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani